Zaa kwa mahesabu, sio uzae watoto waje kufanywa Watumwa huku Duniani

Wakiambiwa uzazi wa mpango wanasema mabeberu wanataka tusizae watutawale ,what a stupid argument ,kuna watu ni wapumbaf nchi hii basi tu
Wewe ndio mpumbavu,Maandiko yanasema Enendeni mkazaane muijaze dunia
 
Maisha sio elimu tu mbona darasa la saba wameajiri wasomi wengi tu? Kila mtu anafungu lake duniani na siri
 
Maisha ni siri mdogo wangu haijalishi umesoma kiasi gan,Huyo unae mpeza Ali aliwai kusema yeye kasomeshwa na mama yake ambae alikuwa anauza gongo uku akitembeza samaki.Na mwishowe kuwa Rais
 
hata huko dunia yatatu wanao jitia kuzaa mtoto 1 mwisho 2 lakini kutumikishwa kuko pale pale viwandani migodini nk awezekani nyote muwe matajiri nani atakae mtumikisha mwenzie leo tunashudia watu waliozaliwa kwenye familia zenye watoto wengi ndio wanaomiliki vipato tunashudia mtu mwenye watoto 2 anaomba msaada kwa mtu mwenye watoto 10 kuzaa watoto wengi sio sababu ya umasikini na kuzaa watoto 2 sio sababu ya utotumikishwa kupata na kukosa yote mipango yake allah
 
hakuna ajue kesho yake masini na watoto tajiri na mali yake kama wewe umekosa mali sio ajabu ukaja pata utajiri kupitia kwa wanao
 
Tatizo sahani nyingi zipo kwenye Meza ya usukule na utumwa.

Yaani kuna maisha Kwa kweli ukiyatathmini halafu uone watoto wako wanayaishi Kwa kweli unaweza kufa Kwa kihoro
hakuna anae jua mtoto wake baadae atakuwa nani mtoto mdogo atabiliki anaweza kuwa tajiri au masikini
 
huo ni mtazamo wa kijinga hakuna ajuae kesho yake wengi walizaa watoto wao wakawalea kwa dhiki sana mlo 1 lakini watoto hao walikuja kuwa matajiri wakawakomboa wazazi wao nawapo walio zaliwa kwenye familia za mboga saba lakini baadae walikufa masikini hakuna ajuae kesho yake
 
hacha kujifariji huyo unae mzalau huwezi kujua hao watoto wake baadae watakuwa wakina nani duniani hapa hata hao watoto wako ujui watakuwaje wakikua
 
Huu ujumbe maalumu kwa wasukuma maana wanazidi kuzalisha manamba

Sent using Jamii Forums mobile app
wasukuma kweli wanazaliana nenda mwanza geita shinyanga simiyu bariadi kisapu kilombelo baadhi ya mkoa wa mbea sumba wanga igunga tabora nzega kutoa ngozi nyeupe katika ngozi nyeusi wao ndio wanamiliki uchumi, chunguza kabila hili la wasukuma hili ujifunze kuzaa watoto wengi sio sababu ya kuwa masikini kuzaa watoto 2 sio kigezo cha kuwa tajiri tembea uone
 
Mimi sijasema kabila hapa.

Ila nashangaa mtu anamatambo anawatoto wengi lakini ukiwatazama HAO watoto unabaki kuwaonea huruma.
endelea kuwaonea huruma lakini ujui wakikua maisha yao yatakuwaje usije shangaa huyu mwenye watoto wengi akatoa watu wenye majina makubwa wewe unao waonea huruma watoto wako wakenda tumikishwa
 
Katika kitu nimekataa kukubaliana nacho ni hichi, uzae mtoto bila kuwa na mipango thabiti ya kumlea, uje ujipe moyo kila mtoto anakuja na sahani yake, hapana kwa kweli..!
huo usemi uwezi jua maana yake katu
 
Nchi zetu hizi za kifala, kuzaa zaa tu bila kuwa mikakati juu ya unaowaleta duniani ni ufala...

Ndio unaona sasa vilio vimeatawala kama vya bima za afya, ada za shule(ingawaje kiasi zimeondolewa) n.k
hakuna ajua kesho yake ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…