ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Labda alipiga J&J kimyakimya. Lkn taarifa zilizopo ni hata waliomaliza chanjo zote wanaugua na kulazwa.Hakurudi kupata chanjo ya 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda alipiga J&J kimyakimya. Lkn taarifa zilizopo ni hata waliomaliza chanjo zote wanaugua na kulazwa.Hakurudi kupata chanjo ya 2
Ha ha ha ha yafe kabisa yaishe masenge sana hayo majamaaaHaina maana ukichanja Uviko ndo unakuwa safe 100% mzee hii ndo unasikiaga homa ya dunia
Na kuna tetesi kitaani ya kwamba ile team ya waunda virus vya Uviko wote washakufa Hivyo kinachofanyika kwa sasa ni wakati mataifa makubwa kupiga deal
Ng'ang'ania kuchaja shekh ili uepuke kifo[emoji3][emoji3]
Nasubiri miaka mitatu kwa waliochanja ili nijue cha kuamua. Kwa sasa sijaamuaKwa hiyo kuna ulazima wa kuchanja?
Maswali elekezi ni:-Marehemu Hans pope asitumike kisiasa kubusti chanjo ya uviko ,anayeataka achanje asiyetaka asichanje kupanga ni kuchagua