TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

Haina maana ukichanja Uviko ndo unakuwa safe 100% mzee hii ndo unasikiaga homa ya dunia

Na kuna tetesi kitaani ya kwamba ile team ya waunda virus vya Uviko wote washakufa Hivyo kinachofanyika kwa sasa ni wakati mataifa makubwa kupiga deal

Ng'ang'ania kuchaja shekh ili uepuke kifo[emoji3][emoji3]
Ha ha ha ha yafe kabisa yaishe masenge sana hayo majamaaa
 
Marehemu Hans pope asitumike kisiasa kubusti chanjo ya uviko ,anayeataka achanje asiyetaka asichanje kupanga ni kuchagua
Maswali elekezi ni:-

1. Ukichanja, huugui tena gonjwa hilo? Majibu yaliyopo unagua, japo inapunguza kasi ya kuugua.

2. Ukiugua, unaweza kufa kwa covid? Majibu yaliyopo, unaweza kufa lkn si kwa haraka kama mtu ambaye hajachanjwa.

3. Waliolazwa hospital leo kwa ugonjwa, wangapi wamechanja na wangapi hawajachanja. Majibu ni kwa nchi zenye uwazi kama England Irish n.k wanadai nusu ya waliolazwa na wanaofariki, ni watu waliopokea chanjo zote zinazohitajika kwenye mataifa yao. Lkn wanaonya kuwa haimaanishi chanjo haifanyi kazi.

Hivyo amua pa kujificha mwenyewe hapo
Screenshot_20210915-194856.jpg
 
Yanayiendelea huko Simba Sports leo nimejikuta nimekukumbuka mzee wangu...endelea kupumzika kwa amani
 
Yule bwana wa vita vya uchumi alisambaza sana misiba
 
Back
Top Bottom