Zahera amjibu manara

Zahera amjibu manara

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
"Sio mara ya Kwanza huyo Manara kuongea vitu ya ovyo, mimi ni Mkongomani, mimi ni mwalimu wa timu ya Taifa , AS Vita ina wachezaji wanne national timu. . Kocha mkuu wa AS Vita ni kocha mwenzangu national team, Kiongozi wa msafara wa AS Vita ndiye kiongozi wa shirikisho la soka Congo ambalo ndio wameniajiri timu ya taifa hivyo ni kiongozi wangu. . huyo Manara kwa akili yake haoni umuhimu wa mimi kwenda kuwasalimia? eti kisa nimeajiriwa Tanzania huo ni upumbavu kabisa. . kipi ninachoweza kukichezesha ama kupanga nikiwa karibu yao. . kocha wa Vita ana video zaidi ya 16 za Simba. . ANAOGOPA NINI?? sasa huyu mpumbavu Haji Manara yeye ni nani mpaka asitake nisisalimiane na wachezaji wangu, viongozi wangu na mwalimu mwenzangu, ANAOGOPA NINI? nimeshindwa kwenda Iringa kwa kuwa timu ya Taifa inaingia kambini jumapili na kuanza mazoezi jumatatu. . ntarudi kutoka Iringa lini na ntakamata ndege lini ili niwasili Congo jumapili?"

- Mwinyi Zahera. (Kocha wa Yanga SC)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo hasara ya kusajili kocha muafrika, yaani jamaa kakaa kiporojo zaidi kuliko soka. Juzi kati hapo kabwata kua wanachama wa yanga hawana msaada wowote kwenye timu yao

Sent using unknown device
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Nilishalima pahala, manara ni msaka huruma za watumia Tecno za 70,000. Simba wanatafuta sababu tu za kujishikiza wakipigwa waseme mwinyi kawahujumu.

Barafu la moto
Mwinyi ni msemaji wa klabu, kocha mtendaji au ni kocha?
.
Kocha mwenye CV ya maana hawezi kuwa kama huyo bogus.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Back
Top Bottom