Kadanganye watoto wenzako, tuna uzoefu na hizo dini, na tunajua ni kwa jinsi gani waislam ni ngumu kuwabadilisha hasa wakipitia madrasa. Nimekupa sababu 2 hapo juu kama hakuna sababu yoyote kati ya hizo hapo juu, MUISLAM HUWEZI MBADILI DINI.
Ni labda mama yake awe mkristo na hakai na baba yake, mostly huwa watoto wa nje ya ndoa. Lkn Baba na Mama waislam na Baba awe swala 5 huwezi mbadili dini mtoto wa Kiislam, tunaishi nao na tunaona hizo Mbugi. Wanawake rahisi kubadili dini ni Wakristo tu, kidogo dhehebu la Sabato, walokole unaweza pata shida kiasi lkn Waislam uhusiano unavunjika mapema kwenye suala la kutaka kumbadilia dini.