AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
True G, mzee yupo real hataki kusema uongo kaamua kuusema ukweli ila uzuri yupo ndani ya dini 2 sasa sijaelewa hapo amezungumzia upande upi wanaoenda na fire extinguisher 7 huko wanakoenda au upande wa yule pasta anaejaza mtungi wa gesi kwa mdomo?Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, tumuombee aweze kupona na kurejea katika afya yake. Pia wanamuziki wenzake, viongozi, jamaa na marafiki ni busara kumjulia hali sasa, msisubiri afariki muanze kuandika risala ndefu zilizojaa unafiki.!
Ndio alivyoumbwa, Mzee muda umeisha kuna kipindi unakula sana raha za maisha unatabasamu muda wote unafanya kazi nzuri unalipwa vizuri ila kuna kipindi kinafika muda wote wewe ni wa kulala kitandani tu kutoka kwenda popote hauwezi tena wewe ni wa kitandani tu, nilipitia huo mkasa kidogo kwa kahoma fulani kalinipiga nahisi nilikua naonyeshwa picha fulani jinsi inavyokua, uheshimu sana mgongo wako katika sehemu za mwili ambazo zikileta shida ubongo unapata changamoto ukiondoa miguu basi mgongo wako una ramani zote za mwili wako ukiumwa mgongo akili haitulii utafanya kila namna na kila jinsi mgongo utulie na upone bila hivyo ni mateso, sasa just imagine unaulalia mgongo saa 24 kila siku inafika muda mgongo nao unachoka tabu zinaanzia hapo, ila Mzee Zahir tangu afiwe na Mwanae Maunda na ile ajali mbaya ya gari hajawahi kua sawa hata ningekua mimi nisingekua sawa mpaka leohe look like a gay
Hata Mpira unaisha na Matokeo, hivyo ndivyo dunia ilivyo ni uwanja wa mapambano at the end lazima mchezo uishe na kila mtu anajua hilo, baada ya miaka 50 mpaka 70 nadhani wachangiaji wengi humu watakua tayari wapo chini futi 6 na wengine upcoming watakua kwenye hali km anayoipitia huyo Mzee ni imeandikwa hivyo Uzee maji ya moto sio Ujana tena maana siku hizi fainali haichezwi Uzeeni tena unaimaliza ukiwa kijana Uzeeni unakua na matokeo yako km ulibeba kikombe au uliishia mshindi wa tatu, kwa hio hilo halipingikiHakuna kitu kibaya kama mtu kujikatia tamaa huku bado ukiwa upo hai.
Una kawaida ya kupotea potea km malaika wa shida na rahaAzinunue kabisa basi
Unaweza ukadhani miaka 50 au hiyo 70 ni mbali....Mungu akinijalia nitakuwa na miaka 99 hahaha...hello NO.Hata Mpira unaisha na Matokeo, hivyo ndivyo dunia ilivyo ni uwanja wa mapambano at the end lazima mchezo uishe na kila mtu anajua hilo, baada ya miaka 50 mpaka 70 nadhani wachangiaji wengi humu watakua tayari wapo chini futi 6 na wengine upcoming watakua kwenye hali km anayoipitia huyo Mzee ni imeandikwa hivyo Uzee maji ya moto sio Ujana tena maana siku hizi fainali haichezwi Uzeeni tena unaimaliza ukiwa kijana Uzeeni unakua na matokeo yako km ulibeba kikombe au uliishia mshindi wa tatu, kwa hio hilo halipingiki
Hapo utakua tayari ushawahishwa bibi yangu ana miaka 100+ sasa hivi, hasikii, kuona kwa tabu, kuongea ni shida, na huyo ni bibi, Babu alishakwenda akiwa na miaka 70 tu too young for me yaan kwangu naona Babu alifariki ingali bado akiwa kijana wa miaka 70 sababu ya muonekano wake hakuwahi kua na muonekano wa Mzee, Babu kijanaUnaweza ukadhani miaka 50 au hiyo 70 ni mbali....Mungu akinijalia nitakuwa na miaka 99 hahaha...hello NO.
Umeandika sahihi kabisa, hqkuna kinachodumu milele, jana nimekutana na binti mmoja aliwahi kusumbua mno miaka 5-10 iliyopita, alikataa wachumba waliompenda kwa dhati kwa kiburi cha uzima na nyodo aliwaambia hawana hadhi nae sababu hawana hela hawzzi ishi nyumba ya kupanga au kupanda pikipiki, saiv kachumbiwa kwenye korido la Lodge, tena ndoa ya mke wa pili kutoka kwenye familia ya rc iliyojaa mapadre kaenda kuwa mke wa pili!!! Mwanaume mwenyewe yupo kama wale wazee wa Qnet ,,,,, full kuchanganyikiwaCleopatra.
Zahir Ally Zorro - Nikikumbuka akiwa kwenye his prime ilikuwa hatari.
Nikimkumbuka Mohamed Ali - The World's Greatest
Kweli binadamu si kitu...Lets be humble you know.
Get Well Soon Mzee Zahir Ally Zorro.
Aibu hii iwe kidogo yaan usiwape full aibu wape nusu nusu maana watu wanaongea baada ya miaka kupita utajikuta hata maiti yako inaongelewa vibaya ukishakufa ooh marehemu hakufunga mdomo sababu alikua anaongea sanaUmeandika sahihi kabisa, hqkuna kinachodumu milele, jana nimekutana na binti mmoja aliwahi kusumbua mno miaka 5-10 iliyopita, alikataa wachumba waliompenda kwa dhati kwa kiburi cha uzima na nyodo aliwaambia hawana hadhi nae sababu hawana hela hawzzi ishi nyumba ya kupanga au kupanda pikipiki, saiv kachumbiwa kwenye korido la Lodge, tena ndoa ya mke wa pili kutoka kwenye familia ya rc iliyojaa mapadre kaenda kuwa mke wa pili!!! Mwanaume mwenyewe yupo kama wale wazee wa Qnet ,,,,, full kuchanganyikiwa
Ni mwasibu.Aliyempaka filter ni nani?
Ulikuwepo akisema hayo..?hata YESU aliuambia mji wa kaperenaum kuwa hutakuzwa hata mbingun bali utashushwa hata kuzimu
Yeah.he look like a gay
🤠🤠🤠🤠Mwanaume mwenyewe yupo kama wale wazee wa Qnet ,,,,, full kuchanganyikiwa
I have also been asking myself for quite a while abt his sexuality. He looks suspicious.he look like a gay
Mbona nipo mkuuUna kawaida ya kupotea potea km malaika wa shida na raha
Nasikia ana electricity?Mabishoo wa 70 na 80 hao😁
i love this uncle mtu poa sana
Dhambi zinazo samehewa nizile ulizofanya bila kujua , unazofanya ikiwa unekusufia na ukiwa na ufahamu sahihi hazisamehewiKama anaamini kuna moto si afanye toba asione dhambi zake ni nyingi kuna watu wameua zaidi ya watu buku na zaidi kwahiyo zake ni za kawaida sana kwenye ulimwengu wa dhambi