Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Inabidi apelekwe vitani huko Ukraine, tena awe mstari wa mbele, ili niendelee kufurahia vitamu.Akhu! Ushindwe pepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu hebu niache bas mwenzio nna furaha babe wangu karudi
Na lamination juuKweli tena, kila sehemu nabandika [emoji23][emoji23][emoji23]
Na lamination juu
Inabidi apelekwe vitani huko Ukraine, tena awe mstari wa mbele, ili niendelee kufurahia vitamu.
Wapi tena? Na kuhusu kitu gani? Mbona sielewi?Umeniuzi ujue kule [emoji17][emoji17][emoji17]
Hao ndio wanga wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mxxiewwww
Wapi tena? Na kuhusu kitu gani? Mbona sielewi?
hilo joto siliachi kwa kweli 😀 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mxxiewwww
Siwezi zungumzia jambo lako lolote binafsi, anyway nilipokosea I'm sorry, take it easy. CheersUmesahau mara hii? Ulikuwa unataka kuongelea nini kule selfika?
Kwanza tuachane nayo tutafaidisha watu tu hapa
hilo joto siliachi kwa kweli 😀 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zai wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu amuweke kabisa...
Ile clip yake ya jana uliiona?Kwamba alipata Bwana Facebook kufika kuonana ananuka Machenza huyo....akamwambia eti yeye ataki machenza[emoji1787]
Intro: Let me talk to this girl meeen....
....aaahhaaa, yeeaah
Naamini unanipenda sio kwa vile mi rapper, ni jinsi navyokupa vitu roho inataka/
Una kila nachohitaji, una kila nachotaka wengi wamehustle juu yako wamevapa/
You know what, baby girl you are so lucky/
Jinsi navyowakwepa wanashikana mashati/
Mipango ishakaa sawa, usipoteze wakati/
Usicheze na midoli hao midoli hawang'ati/
Njoo ucheze nami sema nami kila wakati/
Mi nna future yako, we una future yangu/
Mi nina siri zako na we unatunza zangu/
Basi mshumaa kwenye upepo usiweke makusudi/
Baki innocent usijivike ugaidi, nitasema kwa upole sitosema kiukaidi/
Mpakaa nimefika level hizi baby ujue hii ni serious/
Hatuwezi kutengana kama bob na the wailors/
Kuwa maadui kama pac na notorious/
Siwezi kusema najua kila kitu , Wala huwezi kusema unajua kila kitu/
Kama kupenda ni kasoro sitaki kukamilika tena/
Wanafki wakileta ikibidi ntakua mkatili sana/
Siku hizi ni ngumu kila mtu kuaminika so sikuuzii maneno mi ni mtu wa vitendo/
Rapper wa mwisho wa ukweli, mkali asiye na skendo/
Pingu zitafungwa baby haitakua tena magendo/
Ikiwa hard time au good time zote kubali/
Madogy style, wima mikunjo na chali nipo tayari/
Makini Kama style uandishi na vocal zangu/
Napigana kuhakikishaa milele unabaki wangu/
Kwa wehu ulio nifanyia juzi, wewe ni Nuzulati kijiwe😂🤣🤣Ndio ni mimi zai kijiwe nogwa 😁😁