Zaidi ya Asilimia 86 ya Pombe Zinazouzwa Tanzania Zimechakachuliwa. Mnaua Figo na Maini Yenu!

Tonny Kapola Gas Station

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2025
Posts
1,023
Reaction score
3,334
TBS wameshindwa kazi. Ni kila mtu na lwake. Pombe feki zinachanganywa na mbolea. Madawa ya hospitalini. Makemikali ya viwandani. Halafu wewe unafakamia. Miaka mitano tu mbele ya safari figo na ini hoi. Maisha yanakoma. Ewe mlevi na mnywaji: chukua hatua.

20250929_093827.jpg

Ukiangali pombe juu ya kifuniko inanembo ya TRA ukimwaga kidogo mezani hadi nzii anaungua hizo figo zitashindwaje kuungulia, ukweli ni kwamba hizo pombe kali za siku hizi hazina tofauti na gongo, lakini wameruhusu sababu wanapata na kumiliki mapato, gongo walishindwa kuzuia maana ni lahisi mtu kuikaanga tu nyumbani kwake ndiyo maana wakapiga marufuku.
 
Mm nilisha acha kunywa pombe hizi za kwenye machupa... Nikienda dodoma natenga laki na ishirini nachukua lita 15 za wine safiiiiiii kabisa nakua najipimia tu home. Pia ikiisha chap kwa haraka naagiza tu Dumu lita tano kwa 40000 na usafiri buku kumi nafata jangwani maisha yanaendelea
 
Pombe za Tanzania (Africa)sijui kwanini ukinywa ,mtu unatoa sana harufu mdomoni.
Huku mtu anaweza kunywa bia au pombe kali na wala usihisi harufu yyte ile , Hata sigara hazinuki sana .
 
Mm nilisha acha kunywa pombe hizi za kwenye machupa... Nikienda dodoma natenga laki na ishirini nachukua lita 15 za wine safiiiiiii kabisa nakua najipimia tu home. Pia ikiisha chap kwa haraka naagiza tu Dumu lita tano kwa 40000 na usafiri buku kumi nafata jangwani maisha yanaendelea
Hii hata mimi nafanya.

Natafuta tu alternative ya hii kwa whiskey, nikipata hio sitonunua tena pombe bar
 
Mm nilisha acha kunywa pombe hizi za kwenye machupa... Nikienda dodoma natenga laki na ishirini nachukua lita 15 za wine safiiiiiii kabisa nakua najipimia tu home. Pia ikiisha chap kwa haraka naagiza tu Dumu lita tano kwa 40000 na usafiri buku kumi nafata jangwani maisha yanaendelea
min -me ,Kaka uziii wetuu huu 😉
 
Back
Top Bottom