Zaidi ya Asilimia 86 ya Pombe Zinazouzwa Tanzania Zimechakachuliwa. Mnaua Figo na Maini Yenu!

Zaidi ya Asilimia 86 ya Pombe Zinazouzwa Tanzania Zimechakachuliwa. Mnaua Figo na Maini Yenu!

Kwenu makafiri siyo haram unaweza kunywa.
Basi hapo kobazi unajiona umeporomosha bonge la tusi...

Pepo ya makobazi ina mito ya pombe isiyokauka. Unataka kuniambia kuwa makafiri ndiyo watakwenda kwenye pepo ya makobazi ili kufakamia hizo pombe huku mabikra 72 wakiwa pembeni wanawasubiri?

Jibu bila kupaniki please ili tuone logic yako inavyosema 😂
 
Ukiangali pombe juu ya kifuniko inanembo ya TRA ukimwaga kidogo mezani hadi nzii anaungua hizo figo zitashindwaje kuungulia, ukweli ni kwamba hizo pombe kali za siku hizi hazina tofauti na gongo, lakini wameruhusu sababu wanapata na kumiliki mapato, gongo walishindwa kuzuia maana ni lahisi mtu kuikaanga tu nyumbani kwake ndiyo maana wakapiga marufuku.
Nafikiri Gongo inasubiri...
 
Back
Top Bottom