Zaidi ya Asilimia 86 ya Pombe Zinazouzwa Tanzania Zimechakachuliwa. Mnaua Figo na Maini Yenu!

Zaidi ya Asilimia 86 ya Pombe Zinazouzwa Tanzania Zimechakachuliwa. Mnaua Figo na Maini Yenu!

Mm nilisha acha kunywa pombe hizi za kwenye machupa... Nikienda dodoma natenga laki na ishirini nachukua lita 15 za wine safiiiiiii kabisa nakua najipimia tu home. Pia ikiisha chap kwa haraka naagiza tu Dumu lita tano kwa 40000 na usafiri buku kumi nafata jangwani maisha yanaendelea
IMG_20250927_183034_185.jpg
mkuu kama Mimi Juzi nimejinunulia Lita zangu10 ila sio 40 ni 35k tu Hadi 30k ukibana makede vzuri lazima alegeze.

Ila Konyagi ipewe acha tu iue Figo zangu bila hiyo Dunia ni chungu sana
 
shida tunajua kwamba pombe tu ndio inaharibu figo. kuna vitu vingi sana pombe ni miongoni tu. ukishindwa kunywa kistaarabu utawajibika kwa uzembe wako
Najua kuna sababu zingine mf. Chronic dehydration, matumizi holela na ya muda mrefu ya dawa za kupunguza maumivu, obesity n.k lakini mimi nimeamua kugusia suala la pombe. Hizi sababu zingine tutaweza kuzianzishia uzi wake.

86% ni kubwa mno aisee. Something has to be done!
 
Unaijua tofauti ya Feki na Haram?

Kitimoto ni Haram ila sio Fake.
Jezi za Yanga ni Feki ila si Haram.

Acha kutisha watu, focus na Uji.
Kitimoto siyo haram (labda kama we ni kobazi) japo pia ni feki siku hizi. Nguruwe wanakuzwa kwa ARVs na nyama yao ina kemikali za ARVs kwa wingi japo madhara yake kwa walaji hayajulikani japo kuota matiti na kufumuka makalio kwa jinsia zote kunatajwa sana.
 
Back
Top Bottom