MsaniiMkubwa
Member
- Sep 2, 2026
- 31
- 60
Naunga hii hoja mkonoNdiyo hivyo hivyo hata kwenye mambo mengine mfano Dini. Ungezaliwa India kuna asilimia kubwa ungekuwa muhindu au ungezaliwa Saudi Arabia kuna 99% ungekuwa muislamu.
Mazingira yanatu shape
Ndiyo hivyo hivyo hata kwenye mambo mengine mfano Dini. Ungezaliwa India kuna asilimia kubwa ungekuwa muhindu au ungezaliwa Saudi Arabia kuna 99% ungekuwa muislamu.
Mazingira yanatu shape
Hapo sijakuelewa, Sasa kuvutiwa na Mtu si ndio mwanzo wa hayo mapezn?.Mapenzi ni chaguo, huo mvuto unaoupata kwa Caroline ni hisia tu, zinakuja na kwenda.
Mapenzi ni kumchagua mtu huyo huyo kila siku licha ya changamoto.
Kuvutiwa na mtu ni suala lililo nje ya uwezo wetu. Ni homoni zinaachiliwa mwilini tu.Hapo sijakuelewa, Sasa kuvutiwa na Mtu si ndio mwanzo wa hayo mapezn?.
Uliyemkuta bikira ndio mke wa ndoto zako na si vingenevyo. Mme halali tena wa ndoto za mwanamke ni yule aliyekuvunja ubikira.Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline.
Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa meupe.Ingawa sikuwa na guts za walau kumsalimia lakini nilitamani kuwa namuona wakati wote.Na wala yeye hakuwa anajua lolote kuhusu hilo.
Kila nikikumbuka huwa najishangaa kwa umri ule, miaka 8 au 9 hivi,nilikuwa najua nini kuhusu mapenzi?.
Baadae Caroline alimaliza shule na ndio ikawa mwisho kwangu kumuona na maisha yakaendelea.Labda huenda ningepewa nafasi ya kuchagua nataka kuwa na nani maishani kama Mke basi ningetamka kwa sauti ya juu na bila kusita hata sekunde moja kuwa namtaka Caroline.
Baadae kwenye maisha nilikuja kugundua ya kuwa kuna nafasi ndogo sana kati ya kuoa umpendae au kuoa Mke.Wengi hujikuta tunaoa au kuolewa na wanaokuwa karibu kwa wakati huo wa uhitaji.Na zaidi katika kuhitimisha yupi uishi naye basi Mwanamume au mwanamke atakuwa na vigezo vyake, binafsi au kwa kushauriwa na ndugu na jamaa zake.
Na kadri Dunia inavosonga mbele ndivyo Mahusianao yamekuwa kama makubaliano mengine tu ya kimkataba kati ya wawili.Kwamba turidhiane tuishi tujenge familia.Na pengine kwa msukumo wa mpito wa kutamaniana kwa wakati huo.Kadri muda unavyokwenda barafu inayeyuka na kubaki maji tu.
Kwa ufupi Mapenzi ya kweli yamepungua na yanaendelea kupotea.
Mapenzi ya kweli ni story za Telemundo zaidi. Asilimia kubwa ya binadamu huoana kwa ajili ya kupata sex na kuzaa watoto zaidi.Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline.
Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa meupe.Ingawa sikuwa na guts za walau kumsalimia lakini nilitamani kuwa namuona wakati wote.Na wala yeye hakuwa anajua lolote kuhusu hilo.
Kila nikikumbuka huwa najishangaa kwa umri ule, miaka 8 au 9 hivi,nilikuwa najua nini kuhusu mapenzi?.
Baadae Caroline alimaliza shule na ndio ikawa mwisho kwangu kumuona na maisha yakaendelea.Labda huenda ningepewa nafasi ya kuchagua nataka kuwa na nani maishani kama Mke basi ningetamka kwa sauti ya juu na bila kusita hata sekunde moja kuwa namtaka Caroline.
Baadae kwenye maisha nilikuja kugundua ya kuwa kuna nafasi ndogo sana kati ya kuoa umpendae au kuoa Mke.Wengi hujikuta tunaoa au kuolewa na wanaokuwa karibu kwa wakati huo wa uhitaji.Na zaidi katika kuhitimisha yupi uishi naye basi Mwanamume au mwanamke atakuwa na vigezo vyake, binafsi au kwa kushauriwa na ndugu na jamaa zake.
Na kadri Dunia inavosonga mbele ndivyo Mahusianao yamekuwa kama makubaliano mengine tu ya kimkataba kati ya wawili.Kwamba turidhiane tuishi tujenge familia.Na pengine kwa msukumo wa mpito wa kutamaniana kwa wakati huo.Kadri muda unavyokwenda barafu inayeyuka na kubaki maji tu.
Kwa ufupi Mapenzi ya kweli yamepungua na yanaendelea kupotea.
Kumbuka pia bikra huweza kutoka kutokana na shughuli za kawaida.Hivyo kutoikuta si hitimisho kwamba amewahi kukutana na Mwanaume.Uliyemkuta bikira ndio mke wa ndoto zako na si vingenevyo. Mme halali tena wa ndoto za mwanamke ni yule aliyekuvunja ubikira.
Ingawa hata zamani kulikuwa na ndoa za maelekezo.Kwamba Wazee wanamlengesha Kijana wao kwa Mwanamke wanaomtaka wao, na kijana huishia kuridhia.Zamani nilitamani nipate demu nimuoe yule ninae mpenda kutoka moyo ila sasa hivi nimekua, akili inanambia nita oa yeyote yule awe mweusi awe mweupe awe mfupi awe mrefu ilihali nimempenda tu na si vinginevyo, maisha bhana Yani jiulize umri wote huu Sina nimpendae natongoza ila kuhusu kuoa tabeba yeyote kikubwa nacho amini mungu anisimamie tu mengine mbelembele tutajuana kama kuchapana shaba hukohuko
Fact mambo ya kusema mtapemdana mbele si kweli na kama lipo basi machacheIngawa hata zamani kulikuwa na ndoa za maelekezo.Kwamba Wazee wanamlengesha Kijana wao kwa Mwanamke wanaomtaka wao, na kijana huishia kuridhia.
Waweza kuona hapo suala la "love" au mapenzi litakuja baadae wakati ilitakiwa mapenzi kutangulia ndio ifuate ndoa.