Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Nakaziandoa nyingi huvujika wanaume wakipata pesa maana humudu sasa kuwapata wake wa ndoto zao.

Mapenzi ya kweli yapo. Labda tu kama utaamua kuchukulia maisha yako kama mfano wa maisha yoteNikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline.
Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa meupe.Ingawa sikuwa na guts za walau kumsalimia lakini nilitamani kuwa namuona wakati wote.Na wala yeye hakuwa anajua lolote kuhusu hilo.
Kila nikikumbuka huwa najishangaa kwa umri ule, miaka 8 au 9 hivi,nilikuwa najua nini kuhusu mapenzi?.
Baadae Caroline alimaliza shule na ndio ikawa mwisho kwangu kumuona na maisha yakaendelea.Labda huenda ningepewa nafasi ya kuchagua nataka kuwa na nani maishani kama Mke basi ningetamka kwa sauti ya juu na bila kusita hata sekunde moja kuwa namtaka Caroline.
Baadae kwenye maisha nilikuja kugundua ya kuwa kuna nafasi ndogo sana kati ya kuoa umpendae au kuoa Mke.Wengi hujikuta tunaoa au kuolewa na wanaokuwa karibu kwa wakati huo wa uhitaji.Na zaidi katika kuhitimisha yupi uishi naye basi Mwanamume au mwanamke atakuwa na vigezo vyake, binafsi au kwa kushauriwa na ndugu na jamaa zake.
Na kadri Dunia inavosonga mbele ndivyo Mahusianao yamekuwa kama makubaliano mengine tu ya kimkataba kati ya wawili.Kwamba turidhiane tuishi tujenge familia.Na pengine kwa msukumo wa mpito wa kutamaniana kwa wakati huo.Kadri muda unavyokwenda barafu inayeyuka na kubaki maji tu.
Kwa ufupi Mapenzi ya kweli yamepungua na yanaendelea kupotea.
Au kwa maneno mengine "yule ambae hajawahi kuingiliwa na mwanaume kwani ubikira unaweza kukatika katika michezo ya kawaida. Vile vile amkute mwanaume ambae hajawahi kumuingilia mwanamke. Hapo maisha yatanyooka.Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline.
Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa meupe.Ingawa sikuwa na guts za walau kumsalimia lakini nilitamani kuwa namuona wakati wote.Na wala yeye hakuwa anajua lolote kuhusu hilo.
Kila nikikumbuka huwa najishangaa kwa umri ule, miaka 8 au 9 hivi,nilikuwa najua nini kuhusu mapenzi?.
Baadae Caroline alimaliza shule na ndio ikawa mwisho kwangu kumuona na maisha yakaendelea.Labda huenda ningepewa nafasi ya kuchagua nataka kuwa na nani maishani kama Mke basi ningetamka kwa sauti ya juu na bila kusita hata sekunde moja kuwa namtaka Caroline.
Baadae kwenye maisha nilikuja kugundua ya kuwa kuna nafasi ndogo sana kati ya kuoa umpendae au kuoa Mke.Wengi hujikuta tunaoa au kuolewa na wanaokuwa karibu kwa wakati huo wa uhitaji.Na zaidi katika kuhitimisha yupi uishi naye basi Mwanamume au mwanamke atakuwa na vigezo vyake, binafsi au kwa kushauriwa na ndugu na jamaa zake.
Na kadri Dunia inavosonga mbele ndivyo Mahusianao yamekuwa kama makubaliano mengine tu ya kimkataba kati ya wawili.Kwamba turidhiane tuishi tujenge familia.Na pengine kwa msukumo wa mpito wa kutamaniana kwa wakati huo.Kadri muda unavyokwenda barafu inayeyuka na kubaki maji tu.
Kwa ufupi Mapenzi ya kweli yamepungua na yanaendelea kupotea.
Embu fafanua hapa mkuu..Wanaume wanaooa wakiwa washajipata ndiyo wanaoa wake wa ndoto zao.
Ndiyo sababu ndoa nyingi huvujika wanaume wakipata pesa maana humudu sasa kuwapata wake wa ndoto zao.