Zaidi ya asilimia 90 ya Wanandoa sio wenza wa ndoto zao.

Nilipokuwa darasa la tano nilivutiwa na katoto ambako kapo awali nikamaliza shule kapo la pili.
Nikawa nasali nako nakaona kanisan nilipofika form 4 kakawa kadada nikakambia ukweli tangu mwanzo nakupendaga.
Kesho yake wakasafiri kakaacha na shule.
Miaka imepita now watu wazma nimelikutana naye moyo bado unampenda japo kashaolewa na anamtoto.
Maana yangu hisia za mapenzi huja tu zenyewe japo tunaowapendaga sana huwa hatuwaoi.
 
Ulipokuwa mdogo ulimwona ni Mke wa Ndoto zako, ila ingetokea Mkakuwa wote na Mkaoana pia ungekuja kugundua kuwa ulikosea..

Hayanaga formula.
 
Mapenzi ya kweli yapo. Labda tu kama utaamua kuchukulia maisha yako kama mfano wa maisha yote
 
Mkuu Caroline aliolewa na mimi nimemzalisha watoto 4 tayari na wa 5 anakuja karibuni
 
Au kwa maneno mengine "yule ambae hajawahi kuingiliwa na mwanaume kwani ubikira unaweza kukatika katika michezo ya kawaida. Vile vile amkute mwanaume ambae hajawahi kumuingilia mwanamke. Hapo maisha yatanyooka.
 
Wanaume wanaooa wakiwa washajipata ndiyo wanaoa wake wa ndoto zao.

Ndiyo sababu ndoa nyingi huvujika wanaume wakipata pesa maana humudu sasa kuwapata wake wa ndoto zao.
Embu fafanua hapa mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…