Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuonyeshe Barabara alizojenga Samia.Wewe jamaa mjinga sana!Mpaka asimamiwe ndio Ufanisi wake unaonekana,baada ya kujisimamia kaharibh Kila kitu..
Mwendazake Kwa miaka 5 kajengo Barabara zipi za Mikoani zaidi ya tu flyover y
twa hapo Dar?
Angalia mwenzie anavyokimbiza kila sekta
Wewe ndio mjinga,ziko nyingi sana yaana naweza kukuletea Kila Mkoa andaa MB tuu za kusikiliza You tubeTuonyeshe Barabara alizojenga Samia.Wewe jamaa mjinga sana!
November 2019 alikuwepo Mungu Wako .Chawa wote huwasifia marais wanaowapa mlo. Umejuaje kuwa Samia hatakuwa failure. Umeshindwa hata kutaja huo ujenzi wa hizo barabara unaanza lini na kukamilika lini. Hebu nitajie mradi wowote wa angalau 1t toka aingie madarakani ameshaukamilisha. Hiyo reli yenyewe ya SGR kipande cha Dar-Moro kilitakiwa kuanza nov 2019, lakini hadi leo ni porojo tu.
Bila kuitaja Chadema Unawashwa siyo.Mara nyingi Huwa nasema chadomo Ina watu wajinga na wapuuzi sana,sijui hivyo vichwa chenu kazi yake hasa ni ipi..
Hadi Leo hii hujui utaratibu wa Mikataba TanRoads? Basi nakusaidia ujenzi utaanza rasmi baada ya miezi 4,ndani ya miezi 4 hiyo Wakandarasi watakuwa wanafanya mobilisation na kujenga Kambi..
Nenda Mbeya saizi ujenzi ukishaanza Kwa mkandarasi aliyesaini Mkataba mwezi wa 2..
Nyie machawa wa Mbowe na Lisu ni majinga , Mwenyekiti wenu wa kudumu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Maswa ipo Wapi?kanda ya ziwa hakuna hata 1 km?
Yeye alikuwa makamu wa dhalimu.November 2019 alikuwepo Mungu Wako .
Au Unataka Kumsingizia Samia
Edit hiyoWewe kweli ni mzalendo uchwara.
Mbona mleta Mada ameweka na kirefu chake .
Soma ujumbe uumalize ndiyo uanze kucoment.
Masharti ya hiyo Finance ipoje.Engineering, Procurement Construction and Finance
vipi kuhusu bei ya mahindi itapanda baada ya mama kununua mazao yake au itategemea mkuu ChoiceVariable
Acha ujinga kijana. Uwe na heshima kwa kiongozi wa nchi. Ni mama yako pia kwa umri wake na wako.Kikwete alijenga nchi nzima na jina lake halijaandikwa kwa wino wowote sembuse huyo muuza nchi? Samia kazi yake ni kusaini mikataba tu, hasomi, hawamsomei, yeye anatia mkono tu.
Samia uwezo wake ni wa kua balozi wa nyumba 10 tu lakini ajabu eti ni rais wa nchi, hivi ni vichekesho.
EPC+ F ni Engineering, Procurement, Construction and FinanceHebu tuelewesheni kuhusu hiyo EPC F
Kila siku mnawaza ujinga tuuMasharti ya hiyo Finance ipoje.
Hii hujengwa upya kila baada ya miaka 10Igawa - Songwe - Tunduma