Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS)imesaini Mikataba saba ya ujenzi wa barabara itakayo tekelezwa kwa miaka minne yenye thamani ya shilingi Trillion 3.7 yenye urefu wa kilometa 2035 kwa kiwango cha lami.
IMG-20230617-WA0054.jpg

Mikataba hiyo imehusisha Barabara ya Kidatu - Ifakara - Lupiro - Malinyi - Kilosa Mpepo - Londo - Lumecha/Songea Arusha – Kibaya – Kongwa Construction Of Handeni - Kiberashi - Kijingu - Njoro - Olboroti Mrijo Chini - Dalai - Chambalo - Chemba - Kwa Mtoro - Singida Igawa .

Nyingine ni Songwe - Tunduma Masasi - Nachingwea - Liwale Karatu - Mbulu - Hydom - Sibiti River - Lalago - Maswa Construction Of Mafinga - Mtwango – Mgololo ambapo kila mkandarasi anayehusika na mradi mkubwa, atakua na timu nne za ujenzi katika kutekeleza Mradi.

Akizungumza June 16,2023 Jijini hapa kwenye hafla hiyo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mnyaa Mbarawa ameeleza kuwa Barabara hizo zitajengwa Kwa kutumia utaratibu wa Engineering, Procurement, Construction and Financing (EPC + F).

Ameeleza kuwa utaratibu huo utaendelezwa katika miradi mingine mipya inayotekelezwa kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na kwamba hatua iliyofikiwa hadi sasa ni kuwa Makandarasi wa miradi yote saba (7) wamepatikana na kueleza kuwa mara mradi huo utakapo kamilika utasaidia kufungua fursa za kiuchumi katika maeneo zinapopita na kwa Taifa kwa ujumla.
IMG-20230617-WA0005.jpg

Prof.Mbarawa ameeleza kuwa barabara zitakazojengwa zitapita katika Mikoa kumi na 13 na kufafanua kuwa Barabara ya Kidatu – Ifakara – Lupiro – Malinyi – Kilosa Kwa Mpepo – Londo – Lumecha/Songea (km 435.8) inapita katika mikoa ya Morogoro na Ruvuma na inapita pia katika Majimbo ya Kilombelo, Ulanga, Malinyi na Namtumbo.

Barabara ya Arusha – Kibaya – Kongwa yenye (km 453.42) inapita katika Mikoa ya Arusha, Manyara na Dodoma na inapita katika Majimbo ya Arusha Mjini, Arumeru Magharibi, Simanjiro, Kiteto na Kongwa; Barabara ya Handeni – Kiberashi – Kijungu – Kibaya – Njoro – Olboroti – Mrijo Chini – Dalai – Bicha – Chambolo – Chemba – Kwa Mtoro – Singida (km 384.33) inapita katika Mikoa ya Tanga, Manyara, Dodoma na Singida na inapita katika Majimbo ya Kilindi, Chemba, Kiteto, Singida Mashariki na Iramba Mashariki.

"Barabara ya Igawa – Songwe – Tunduma (njia nne) (km 237.9) inapita katika Mikoa ya Mbeya na Songwe na inapita katika Majimbo ya Mbarali, Mbeya Vijijini, Mbeya Mjini, Mbozi, Vwawa na Tunduma; Barabara ya Masasi – Nachingwea – Liwale (km 175) inapita katika Mikoa ya Lindi na Mtwara na inapita katika Majimbo ya Masasi, Nachingwea na Liwale,"amesema

Kwa upande wa Barabara ya Karatu – Mbulu – Haydom – Sibiti River – Lalago – Maswa yenye (km 339), Waziri huyo amesema inapita katika Mikoa ya Manyara, Simiyu, Singida na Arusha na inapita katika Majimbo ya Mbulu Mjini, Mbulu Vijijini, Karatu, Iramba Mashariki, Meatu, Maswa Mashariki na Kisesa huku barabara ya Mafinga – Mtwango – Mgololo (km 81) inapita katika Mkoa wa Iringa katika Majimbo ya Mufindi Kusini na Mafinga Mjini.

Aidha amefafanua kuwa katika Mradi wa Barabara ya Igawa – Tunduma (km 218) ambao utajengwa kwa njia nne (4), imepangwa barabara hiyo ifanyiwe usanifu na ujenzi utakaowezesha kuifanya njia moja kuwa ya malori tu, na yatatumia njia hiyo kwa kulipia pia, itajengwa barabara ya mchepuo (ByPass) ambayo itapita Nje ya Jiji la Mbeya.

Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Mohamed Besta ameuzungumzia mradi huo kuwa wa kwanza kufanyika hapa nchini kutokana na ukubwa wake na kueleza kuwa mchakato wa zabuni za EPC+F ulifanyika kupitia ushindani wa uwazi ulioanza tarehe 27 Juni, 2022 ambapo jumla ya Makandarasi 129 walionesha nia.

Amesema Mchakato wa zabuni ulipitia hatua mbalimbali na hatimaye baada ya uchambuzi, ilibainika kwamba Makandarasi wanne (4) walikidhi vigezo vilivyowekwa

Mhandisi Besta amewataja makandarasi hao kuwa ni Kampuni ya China Civil Engineering Construction (CCECC) ikishirikiana na kampuni ya China Railway 19th Bureau Group Corporation Ltd (CR19) kampuni ya Sinohydro Corporation Ltd. kampuni ya China Overseas Engineering Group Co, Ltd (COVEC) pamoja na kampuni ya China Railway No. 4 Engineering Group Co. Ltd (CREC4)na Kampuni ya China Railway 15th Bureau Group (CR15G).

"Makandarasi hawa wote kupitia utaratibu wa EPC+F, watawajibika kufanya usanifu wa kina (Design) na kujenga barabara hizi kwa viwango na ubora ulioainishwa kwenye Mikataba na Vihatarishi vyote (risk) vinavyohusu usanifu wa mradi na muda wa ujenzi vitabebwa na Mkandarasi,"amefafanua.

WANANCHI HAWATALIPIA BARABARA ZA UTARATIBU WA UJENZI WA EPC + F
 
Mkuu Choice, nakubaliana nawe na kwa taarifa yako nafuatilia sana maendeleo yatokanayo na bajeti yetu, ila msukumo wa kujenga mabweni hususani kwa watoto wa kike sio mkubwa sana wa kuondoa tatizo la wahanga hawa "watoto wa maskini". Hii inatokana na watoto wa watoa maamuzi ya maendeleo ya Nchi hii wanasoma kama sio shule binasfi basi Nje ya Nchi.
 
Narudia tena we kenge! Kama SGR na JKNHP ni upumbavu, basi na vyote mnavyotueleza ni upumba

..SGR tumedanganywa ktk gharama za ujenzi.

..pia kuna ufisadi ktk.utoaji wa kandarasi.

..fuatilia ripoti ya CAG.
 
Kwanini hapo Masasi- Nachingwea- Liwale wasimalize kabisa na Nangurukulu Kilwa?
 
[https://www]

Jukwaa la Siasa

Miaka minne ya Rais Magufuli: Ni maajabu tupu kwenye miradi ya barabara

Thread starterElitwege

Start dateAug 31, 2019

1 of 12Next Last

Watch

•••

[https://www]

Elitwege

JF-Expert Member

Aug 31, 2019

Add bookmark

#1

[https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji]
TUELEWANE.

Serikali imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa barabara kama ifuatavyo:-

(i) Dodoma – Manyoni - (127)
(ii) Singida – Shelui - (Km 110)
(iii) Nzega – Ilula na Tinde - Isaka (Km 169)
(iv) Nangurukuru – Mbwemkuru - Mingoyo (Km 190)

(v) Mkurunga – Kibiti - (Km 121)
(vi) Pugu – Kisarawe - (Km 6.6)
(vii) Singida – Isuna - (Km 63)
(viii) Kyamyorwa – Buzirayombo – Geita (Km 220)
(ix) Kigoma – Kidahwe - (Km 36)
(x) Chalinze – Morogoro - Melela - (Km 129)
(xi) Tunduma – Songwe - (Km 71)
(xii) Dodoma – Morogoro - (Km 256)
(xiii) Tarakea – Rongai – Kamwanga - (Km 32)
(xiv) Rombo Mkuu – Tarakea - (Km 32)
(xv) Geita – Busisi - (Km 92)
Miradi ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji ni:-

(i) Manyoni – Isuna - (Km 54)
(ii) Kagoma – Lisahunga - (Km 154)
(iii) Tabora – Malagarasi – Uvinza – Kigoma (Km 364)
(iv) Ndundu – Somanga - (Km 60)
(v) Arusha – Namanga - (Km 105)
(vi) Tanga – Horohoro - (Km 65)
(vii) Mwandiga – Manyovu - (Km 60)
(viii) Masasi – Mangaka - (Km 54)
(ix) Singida – Babati – Minjingu - (Km 224)

(c) Kukamilisha ukarabati wa barabara zote ambao unaendelea na
ujenzi kwa kiwango cha lami ambao umekwisha anza katika
Barabara Kuu na Barabara za Mikoa kama ifuatavyo:
• Manyoni – Isuna (Km 54);
• Kagoma – Biharamulo – Lusahunga (Km 154);
• Ndundu – Somanga (Km 60);
• Sumbawanga – Matai – Kasanga (Km 112);
• Marangu – Tarakea – Rongai – Kamwanga (Km 98);
• Minjingu – Babati – Singida (Km 222);
• Korogwe – Handeni (Km 65);
• Mziha – Turiani – Magole (Km 84.6)
• Dumila – Kilosa (Km 63)
• Bariadi – Lamadi (Km 71.8);
• Mbeya – Chunya – Makongolosi (Km 115);
• Tanga – Horohoro (Km 65);
• Masasi – Mangaka (Km 54);
• Makofia – Msata (km 64);
• Mwandiga – Manyovu (km 60);
• Handeni – Mkata (km 54);
• Kisarawe – Maneromango (Km 54);
• Njombe – Makete (Km 109).
• Barabara ya Kilwa/DSM (km 12);
• Barabara ya Mandela (km 16);
• Msimba – Ikokoto – Mafinga (Km 219);
• Arusha – Namanga (Km 105);
• Chalinze – Segera – Tanga (Km 245); na
• Isaka – Lusahunga (km 242)
• Kwasadala-Masama (Km 12.2);
• KiboshoShine-Kwa Raphael-International School (Km 43);
• RauMadukani-Mawela-UruNjari (Km 12.5);
• KiruaNduoni-Marangu Mtoni (Km 31.5);
• Kahama Mjini (Km 5).
(d) Kuanza Ujenzi mpya na ukarabati kwa Kiwango cha Lami Barabara
Zifuatazo:
40
• Bunda – Kisorya – Nansio (Km 93);
• Tunduma – Sumbawanga (Km 230);
• Rujewa – Madibira – Mafinga (Km 151);
• Babati – Dodoma – Iringa (Km 523);
• Sumbawanga – Kanyani – Nyakanazi (Km 562);
• Nata – Fort Ikoma (Km 141);
• Nzega – Tabora (Km 116);
• Manyoni – Itigi – Tabora (Km 264);
• Ipole – Koga – Mpanda (Km 255);
• Makurunge – Saadani – Pangani - Tanga (Km 178);
• Matai – Kasesya (Km 65);
• Mangaka – Mtambaswala (Km 65);
• Mto wa Mbu – Loliondo – Mugumu – Nata – Makutano (Km 452);
• Kyaka – Bugene (km 59);
• Mbinga – Mbamba bay (Km 66);
• Tunduru – Namtumbo (Km 194);
• Kamwanga – Sanya Juu (Km 75);
• Tabora – Urambo (Km 90);
• Uvinza – Kidahwe (Km 77);
• Daraja la Malagarasi na barabara zake (Km 48);
• Uyovu – Bwanga – Biharamuro (Km 112);
• Kisesa –Usagara (Km 17);
• Namtumbo – Songea (Km 70);
§ Peramiho – Mbinga (Km 78);
§ Kawawa Jct – Mwenge – Tegeta (Km 17);
• Segera – Same – Himo (km 261);
• Makambako – Songea (km 295);
• Mtwara – Masasi (km 200);
• Arusha – Moshi – Himo – Holili (km140);
• Arusha – Minjingu (km 104);
• Nyanguge – Musoma – Sirari (km 262); na
• Sanya Juu – Bomang’omba (Km 25).
(e) Kuzifanyia Upembuzi na Usanifu Barabara Zifuatazo:-
• Tabora – Mambali – Bukene – Itobo – Kahama (Km 149);
• Lupilo – Malinyi – Kilosa kwa Mpepo – Londo – Kitanda (km 396);
• Ifakara – Mahenge ( Km 67);
• Kibondo – Mabamba (km 35);
• Kolandoto- Lalago - Mwanhuzi - Matala - Oldeani Jct (km 328);
• Omugakorongo – Kigarama – Murongo (km 105);
• Mpemba – Isongole (Tanzania/Malawi) (km 49);
• Soni – Bumbuli –Dindira – Korogwe (km 74);
41
• Makofia – Mlandizi – Vikumburu (Km 148);
• Kibaoni – Majimoto – Inyonga Km 162);
• Mpanda- Ugala – Kaliua – Ulyankulu – Kahama (km 428);
• Makongolosi- Rungwa – Mkiwa (km 412);
• Mtwara – Newala – Masasi (km 209);
• Handeni – KiberasOfisi ya Rais - TamisemiUzalendoJPM2020 Ofisi ya Rais - Tamisemi

Tuna hasira na bandari yetu msituudhi. Hamna kitu hapo.
Jumlisheni wenyewe then mniambie. Kama mtia mada unataka ukuu wa wilaya sema tu. Japo umesahau kuweka namba ya simu
 
Eti mchakato wa kuwapata makandarasi ulifanyika kwa uwazi while kampuni zote ni za kichina. Pumbavu zao.
 
Back
Top Bottom