Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

W
We mweu Ni kipindi gani umeshuhudia korosho imenunuliwa 4000?
 
W

We mweu Ni kipindi gani umeshuhudia korosho imenunuliwa 4000?
Haijawahi nunuliwa hiyo bei zaidi ya maigizo ya kuficha aibu,ndio tulisikia kwamba watu wakaoneshe mashamba walipolima korosho, mwisho wa siku iliozea kwenye Maghala ya serikali ikamwagwa maana wanunuzi waligoma 😂😂
 
Kama kawaida, tu-sifa twa kuokoteza. Sasa hapo historia ni gani? Barabara au EPC+F?

Sikilizeni nyie chawa. Huyo mama yenu hamna kitu anafanya. Anarukaruka tuu hatumwelewi huku. Barabara nayo ni kitu cha kumsifia? Hamna jipya.
 
Hamuelewi wewe na Sukuma gang wenzio au na nani?
Samia Kamatia hapo hapo panya wameanza kutoka mapangoni 😁😁
 
Huyo ChoiceVariable nimekuwa najadiliana naye hatimaye nimeamini ni mmoja wa CHAWA. Badala ya kuendeleza mjadala anatoa matusi, du! Hata kama ni kujipendekeza siyo kwa jinsi hiyo. Km, nimembana atoe na kueleza sheria inayosimamia mikataba ya EPC+F nikaishia kutupia tusi

Nakubaliana na wewe kuwa yanayofanywa na Awamu ya sasa, ambayo CHAWA anayapigia debe ni mwendelezo wa ya Awamu iliyopita lakini kwa kiwango cha chini sana ikizingatiwa Serikali ina fedha nyingi kutokana na Tozo mpya, misaada, mikopo na sasa inaingia kwenye mikataba ya ufisadi. Viongozi wa Serikali wanaamini nchi haina Wataalamu wala mitaji ya kutekeleza miradi ya maendeleo wakati ni tajiri kwa maliasili inayoporwa mchana kweupe.

Tufikiri nje ya sanduku kama alivyoweza JPM katika miaka 5 ya uongozi wake hadi upinzani kudai ni Rais wa barabara na maendeleo ya vitu
 
We Melinda ligacy acha porojo,Nitajie Barabara Moja ya kuunganisha Mkoa na Mkoa aliyoijenga Mwendazake nikurushie Laki Moja.

Mwendazake was a failure
 
Sihitaji fedha ya ufisadi au kujipendekeza. Mwenye macho haambiwi tazama
Nitajie Barabara ya kuunganisha Mkoa alijenga acha porojo mlinda ligacy 🤪🤪

Wajamaa ni watu wa hovyo na wajinga
 
Nitajie Barabara ya kuunganisha Mkoa alijenga acha porojo mlinda ligacy [emoji2957][emoji2957]

Wajamaa ni watu wa hovyo na wajinga
Miradi yote ya kimkakati aliyoanzisha Mwendazake, na Awamu hii inahangaika kuikamilisha, kwa kila hila, kuchelea aibu, huioni hadi utajiwe? Du!
 
Miradi yote ya kimkakati aliyoanzisha Mwendazake, na Awamu hii inahangaika kuikamilisha, kwa kila hila, kuchelea aibu, huioni hadi utajiwe? Du!
Taja Barabara, miradi ya kimkakati ndio Mdudu gani? 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…