Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

Huyu mama hesabu na yeye ni mbingu na ardhi 1km 2b
Ujinga umekujaa,

Mjinga mwenzio huyo unaejibizana nae nimemuonesha Barabara zinazozidi 2bln per km na sio EPC +F akakimbia , Sasa EPC+F ni 1.9bln per km..reasonable price.
 
Halafu kunachawa mmoja anakuja kituimbia mapambio humu. Sijui mama kawa hivi mama kawa vile, siju kuupiga mwingi. Yaani mafisadi yanampiga chenga kidogo tu anaingia mkenge. Halafu yanaanza kumpigia makofi ya shangwe.

Kwenye huu utawala wa huyu mama tutaona mengi yanakuja kama mazuri, kumbe yana source na mwisho muovu. Halafu akitoka kitini nae aandike kitabu cha majuto. Tunapitia wakati mgumu sana kama taifa.
 
Wapumbavu wa Sukuma gang mnajazana ujinga 😁😁😁😁
 
Mama yao anavosikiliza kwa makini unaeza dhani anatake notes kumbe vinaingilia huko na kutokea kule..
 
Punguza makasiriko wewe hata demu na mke au mume unashindwa kumwongoza,
unachapiwa na wahuni ,
halafu una mu under dog Madame S anayeongoza nchi tena yenye vilaza size yako
kuna muda waafrika tujitambue mabadiliko huanza na wewe usikute hata kwenye ukoo wenu huna maamuzi yaani zuzu,
humu ndio keyboard woria!

😎😎
 
Source ( 3.8 Trilions) ya ku finance hizo barabara ni ipi?
2. Masharti ya hiyo source ni nini?
 
Leta hoja achana na ngonjera na michambo, kaimbe taarabu huko, huku hupawezi.
 
Rubith!.....sijaona barabara ya Ipogolo -Kilolo ambao ndio source chakula mkoa wa Iringa nzima
 
Rubith!.....sijaona barabara ya Ipogolo -Kilolo ambao ndio source chakula mkoa wa Iringa nzima
Hiyo haipo hata kwenye Mpango na Wala sijawahi sikia popote ikizungumzwa,ngoja nitaingia kwenye tovuti ya TanRoads Iringa nifuatolie..

Kiukweli ni Barabara muhimu sio tuu inaishia Kilolo Bali inatakiwa kwenda kuungana na Barabara kuu ya Mikumi-Ifakara Njombe pale Idete,pia hiyo ni alternative in case Kuna blockage ya Barabara Kuu ya Iringa -Mikimi-Morogoro..

Mwisho,huu ni Mwanzo tuu vuta subiria, EPC+F itajengwa Barabara zote za kiuchumi ikiwemo hiyo ya Ipogolo-Kilolo Hadi Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…