peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
EPC +F ni mfumo wa kijifunga goli mwenyewe mkuuHiyo haipo hata kwenye Mpango na Wala sijawahi sikia popote ikizungumzwa,ngoja nitaingia kwenye tovuti ya TanRoads Iringa nifuatolie..
Kiukweli ni Barabara muhimu sio tuu inaishia Kilolo Bali inatakiwa kwenda kuungana na Barabara kuu ya Mikumi-Ifakara Njombe pale Idete,pia hiyo ni alternative in case Kuna blockage ya Barabara Kuu ya Iringa -Mikimi-Morogoro..
Mwisho,huu ni Mwanzo tuu vuta subiria, EPC+F itajengwa Barabara zote za kiuchumi ikiwemo hiyo ya Ipogolo-Kilolo Hadi Morogoro