Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

Hiyo haipo hata kwenye Mpango na Wala sijawahi sikia popote ikizungumzwa,ngoja nitaingia kwenye tovuti ya TanRoads Iringa nifuatolie..

Kiukweli ni Barabara muhimu sio tuu inaishia Kilolo Bali inatakiwa kwenda kuungana na Barabara kuu ya Mikumi-Ifakara Njombe pale Idete,pia hiyo ni alternative in case Kuna blockage ya Barabara Kuu ya Iringa -Mikimi-Morogoro..

Mwisho,huu ni Mwanzo tuu vuta subiria, EPC+F itajengwa Barabara zote za kiuchumi ikiwemo hiyo ya Ipogolo-Kilolo Hadi Morogoro
EPC +F ni mfumo wa kijifunga goli mwenyewe mkuu
 
Yule mwingine alikuwa ni mjinga mmja tuu,ujue Kila siku nawaambia Wajamaa ni watu wapumbavu sana Mkiwa entertain mtaishia kuwa maskini milele.
Sasa wangefuta neno "UJAMAA NA KUJITEGEMEA" kwenye katiba. Ni upuuzi kuponda ujamaa wakati kwenye katiba yenu bado unasomeka
 
SGR kutoka dar - morogoro ni Trilion ngapi?
Tangu 2017 hadi leo haijaanza kazi.

Unazungumzia Trilion 3.8 kuwa Saa100 anazo?

Unafahamu maana ya EPC +F na inavyofanya kazi au unadhani watu wote ni la saba?
Sasa mjinga kama wewe unaweza kweli nifundisha EPC+F kweli? Nafahamu models nyingi zaidi ya 5 za ujenzi wa Barabara..

Shujaa wenu kabla ya kufa alisema ingeanzia kazi mbona hakuzindua hiyo Sgr?

3.8Tln ni hela kubwa Kwa nyie backward minded people ila Kwa bepari kama Samia ni hela ya chai tuu.

Next year tunazindua Barabara nyingine za EPC+F,tunataka km 8,000 Hadi 2030 ziwe tayari na kuweka historia ya kuifungua Nchi.
 
Sasa wangefuta neno "UJAMAA NA KUJITEGEMEA" kwenye katiba. Ni upuuzi kuponda ujamaa wakati kwenye katiba yenu bado unasomeka
Kwani lini Katiba Mpya imeandikwa?

Ujamaa ni upuuzi na umaskini wa kujitakia unaijenga Taifa la Wavivu na watu wa kulalamika na hofu ya mabadiliko Kwa Kila kitu.
 
Sasa mjinga kama wewe unaweza kweli nifundisha EPC+F kweli? Nafahamu models nyingi zaidi ya 5 za ujenzi wa Barabara..

Shujaa wenu kabla ya kufa alisema ingeanzia kazi mbona hakuzindua hiyo Sgr?

3.8Tln ni hela kubwa Kwa nyie backward minded people ila Kwa bepari kama Samia ni hela ya chai tuu.

Next year tunazindua Barabara nyingine za EPC+F,tunataka km 8,000 Hadi 2030 ziwe tayari na kuweka historia ya kuifungua Nchi.
As long as EPC +F itajenga na mkoa wa Mwanza...Sina shida nayo
 
Andaeni Barabara za kimkakati Zenye Tija kiuchumi, Serikali imeshaweka tozo ya mafuta sh.100 ambayo Kila mwaka itakuwa inaingiza zaidi ya Bil.380 Hadi 400 Kwa kazi za kujenga Barabara.
 
Hyo tozo inapelekwa kwenye miradi ya kimkakati sio barabara za kimkakati.....SGR ,nk
 
Sasa mjinga kama wewe unaweza kweli nifundisha EPC+F kweli? Nafahamu models nyingi zaidi ya 5 za ujenzi wa Barabara..

Shujaa wenu kabla ya kufa alisema ingeanzia kazi mbona hakuzindua hiyo Sgr?

3.8Tln ni hela kubwa Kwa nyie backward minded people ila Kwa bepari kama Samia ni hela ya chai tuu.

Next year tunazindua Barabara nyingine za EPC+F,tunataka km 8,000 Hadi 2030 ziwe tayari na kuweka historia ya kuifungua Nchi.
 
Sasa mjinga kama wewe unaweza kweli nifundisha EPC+F kweli? Nafahamu models nyingi zaidi ya 5 za ujenzi wa Barabara..

Shujaa wenu kabla ya kufa alisema ingeanzia kazi mbona hakuzindua hiyo Sgr?

3.8Tln ni hela kubwa Kwa nyie backward minded people ila Kwa bepari kama Samia ni hela ya chai tuu.

Next year tunazindua Barabara nyingine za EPC+F,tunataka km 8,000 Hadi 2030 ziwe tayari na kuweka historia ya kuifungua Nchi.
Umejibu maswali niliyokuuliza kweli?
 
Wabunge waliokwenda DP World - DUBAI, hao hapo.

Msituondoe kwenye issue ya bandari zetu mnatuletea disco jingine la EPC+F nalo ni janga jingine la kuchota fedha bank zenye riba kwenda kujengea barabara
 
Attachments

  • 2F9D44BC-6289-4738-985C-4C2498AC42FF.jpeg
    2F9D44BC-6289-4738-985C-4C2498AC42FF.jpeg
    37.4 KB · Views: 1
Wabunge waliokwenda DP World - DUBAI, hao hapo.

Msituondoe kwenye issue ya bandari zetu mnatuletea disco jingine la EPC+F nalo ni janga jingine la kuchota fedha bank zenye riba kwenda kujengea barabara
Kwani ni Siri mbona walisema Bungeni walienda Dubai kwani Kuna shida gani? Au Kwa sababu wewe hujuenda? 😁😁
 
Back
Top Bottom