ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #121
Uzuri hizi brabara zote na sections zote zitaanza Kwa pamoja yaani Kila section ya km 100 itakuwa na Camp kazi zinaendelea Kwa hiyo ndani ya miaka 4 Barabara nzima inakuwa imekamilika na inaanza uzalishaji immediately na hivyo kuwezesha kulipa deni mapema zaidi.Kuna maeneo kweli serikali ipewe maua yake
Wewe nimekwambia JK alijitahidi na kwenye Barabara alijenga wastani wa km 6000 ambayo ndio ilikuwa kubwa Kwa miaka 10,Sasa ndio nakwambia hivi SS atafikisha kati ya km 8,000-10,000 kama atakaa miaka 10 madarakani.Huwezi kumpinga Kikwete Kwenye Ujenzi Wewe Mbulula.
Kama Unamsifia Samia Msifiye Lkn Usimfananishe Na Kikwete.
Bado Hajamfikia.
Nenda karuke Chato Airport sitaki blaa blaa si ndio urithi mliachowa na mtu wenu au?Kuwa chawa ni Mzigo wa dhambi na kuwa mwanakijani aina yako tayari unatokuwa unatoka Ukoo mmoja wa kishetani. Haya kachukue UDASI wa Mchamba wima
Bahati mbaya sana JF hizi mada zenye serikali inafanya powa hawatapongeza tunasubir zile ambazo serikali imeonesha mapungufu ya kiutendajiUzuri hizi brabara zote na sections zote zitaanza Kwa pamoja yaani Kila section ya km 100 itakuwa na Camp kazi zinaendelea Kwa hiyo ndani ya miaka 4 Barabara nzima inakuwa imekamilika na inaanza uzalishaji immediately na hivyo kuwezesha kulipa deni mapema zaidi.
Dar ina fly over 2? Akati mji mzima kila kona JPM kapiga interchange na Running lanes za kutosha. Pia uwe una tumia akili, siyo tundu la m.kundu kujibu hoja.Sasa flyover 2 ndio zinakuchanganya? Acha ushamba flyover ni daraja tuu na Kuna Madaraja Yana gharama kubwa kuliko huyo tu flyover..JK mwenyewe alijenga kule kurasini punguza ujinga.
Dar ina fly over 2? Akati mji mzima kila kona JPM kapiga interchange na Running lanes za kutosha.
Kwani ikitumika kwenye Barabara Kuna tatizo? Mbona nyie na Rais wenu wa Wanyonge mlikuwa mnaiba pesa Kwa kuweka pigment kwenye mafuta?Hiyo sh 100 inayoongezwa Kwenye mafuta ulitaka itumike Kwenye Nini tatizo mnaishi kwa Shemeji zenu halafu mnakuja kupigwa kelele hivi birthday unajua Kuna tozi ngapi kwenye mafuta na bandari zinazoenda tanrod
Sawa Kwa hiyo?Dar ina fly over 2? Akati mji mzima kila kona JPM kapiga interchange na Running lanes za kutosha. Pia uwe una tumia akili, siyo tundu la m.kundu kujibu hoja.
Hata ukianzisha mada yenye heading ya kusifia Serikali watafuta au kubadili heading..Bahati mbaya sana JF hizi mada zenye serikali inafanya powa hawatapongeza tunasubir zile ambazo serikali imeonesha mapungufu ya kiutendaji
Endeleeni kulinda ligacy 🤪🤪Achana nae huyo, ukunguni umezidi level za uchawa, so kujipendekeza hadi kapofuka haoni
Dar-Moro-Dom itakuwa express way njia 6 na kati ya hizo kutakuwa n dedicated lanes za Malori..Hapa Bado Kuna tatizo la priorities, malori yote yanatoka Bandarini kuelekea nchi jirani za Burundi, Uganda na Rwanda huwa malori yanagawanyikia Morogoro uelekeo WA Dodoma, na pia uelekeo wa Malawi, Zambia. Na Congo DRC malori huendelea uelekeo WA mbeya, Sasa priority ya kuweka njia za malori ni kati ya DSM na Morogoro, Iweje Igawa na Tunduma!? Muda mwingi unapotezewa DSM na Morogoro, issue ya ajali tuweke kando kwanza
Kanda ya kaskazini maeneo mengi kwenye miundombinu ya usafiri yapo vizuri isipokua kulikuwa na changamoto baadhi ya maeneo ya Arusha kuingilia Manyara kwenye wilaya za simanjiro na kiteto pia kuunganisha maeneo ya kiteto to tanga na kiteto to dodoma. Huu mradi kama utakamilika ulivokusudiwa 🤔 aiseee itakua na faida kubwa sana. Maana kule kiteto pana arable land kubwa sana ina rutuba ipo productive sanaHata ukianzisha mada yenye heading ya kusifia Serikali watafuta au kubadili heading..
Ushahidi ni hii mada,Nikianza kuwa kuandika kwamba Rais Samia Aweka Alama ,wemebadili ..
Sishangai Kwa sababu hili ni liforum la Wapinzani wa Serikali ndio maana mada za kutukana Serikali Huwa wanazipa airtime kubwa sana
Mbona wenzio wnapata ,wewe umesomea fani gani?Mimi sina Shida Na Mama toka asign mkataba wa bandari nampenda Tu hila shida Mama anipe ajira Tu nilee vitoto vyangu [emoji3526]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Engineering, Procurement Construction and Finance
PPP,GoT,Mkopo nk nkMtindo mwingine tofauti na huu ni upi?
Ulikuwa na mapungufu gani?
Huu una faida gani??