Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

Kuna maeneo kweli serikali ipewe maua yake
Uzuri hizi brabara zote na sections zote zitaanza Kwa pamoja yaani Kila section ya km 100 itakuwa na Camp kazi zinaendelea Kwa hiyo ndani ya miaka 4 Barabara nzima inakuwa imekamilika na inaanza uzalishaji immediately na hivyo kuwezesha kulipa deni mapema zaidi.
 
Hiyo sh 100 inayoongezwa Kwenye mafuta ulitaka itumike Kwenye Nini tatizo mnaishi kwa Shemeji zenu halafu mnakuja kupigwa kelele hivi birthday unajua Kuna tozi ngapi kwenye mafuta na bandari zinazoenda tanrod
 
Huwezi kumpinga Kikwete Kwenye Ujenzi Wewe Mbulula.
Kama Unamsifia Samia Msifiye Lkn Usimfananishe Na Kikwete.
Bado Hajamfikia.
Wewe nimekwambia JK alijitahidi na kwenye Barabara alijenga wastani wa km 6000 ambayo ndio ilikuwa kubwa Kwa miaka 10,Sasa ndio nakwambia hivi SS atafikisha kati ya km 8,000-10,000 kama atakaa miaka 10 madarakani.
 
Kuwa chawa ni Mzigo wa dhambi na kuwa mwanakijani aina yako tayari unatokuwa unatoka Ukoo mmoja wa kishetani. Haya kachukue UDASI wa Mchamba wima
Nenda karuke Chato Airport sitaki blaa blaa si ndio urithi mliachowa na mtu wenu au?
 
Uzuri hizi brabara zote na sections zote zitaanza Kwa pamoja yaani Kila section ya km 100 itakuwa na Camp kazi zinaendelea Kwa hiyo ndani ya miaka 4 Barabara nzima inakuwa imekamilika na inaanza uzalishaji immediately na hivyo kuwezesha kulipa deni mapema zaidi.
Bahati mbaya sana JF hizi mada zenye serikali inafanya powa hawatapongeza tunasubir zile ambazo serikali imeonesha mapungufu ya kiutendaji
 
Sasa flyover 2 ndio zinakuchanganya? Acha ushamba flyover ni daraja tuu na Kuna Madaraja Yana gharama kubwa kuliko huyo tu flyover..JK mwenyewe alijenga kule kurasini punguza ujinga.
Dar ina fly over 2? Akati mji mzima kila kona JPM kapiga interchange na Running lanes za kutosha. Pia uwe una tumia akili, siyo tundu la m.kundu kujibu hoja.
 
Hiyo sh 100 inayoongezwa Kwenye mafuta ulitaka itumike Kwenye Nini tatizo mnaishi kwa Shemeji zenu halafu mnakuja kupigwa kelele hivi birthday unajua Kuna tozi ngapi kwenye mafuta na bandari zinazoenda tanrod
Kwani ikitumika kwenye Barabara Kuna tatizo? Mbona nyie na Rais wenu wa Wanyonge mlikuwa mnaiba pesa Kwa kuweka pigment kwenye mafuta?
 
Bahati mbaya sana JF hizi mada zenye serikali inafanya powa hawatapongeza tunasubir zile ambazo serikali imeonesha mapungufu ya kiutendaji
Hata ukianzisha mada yenye heading ya kusifia Serikali watafuta au kubadili heading..

Ushahidi ni hii mada,Nikianza kuwa kuandika kwamba Rais Samia Aweka Alama ,wemebadili ..

Sishangai Kwa sababu hili ni liforum la Wapinzani wa Serikali ndio maana mada za kutukana Serikali Huwa wanazipa airtime kubwa sana
 
Hapa Bado Kuna tatizo la priorities, malori yote yanatoka Bandarini kuelekea nchi jirani za Burundi, Uganda na Rwanda huwa malori yanagawanyikia Morogoro uelekeo WA Dodoma, na pia uelekeo wa Malawi, Zambia. Na Congo DRC malori huendelea uelekeo WA mbeya, Sasa priority ya kuweka njia za malori ni kati ya DSM na Morogoro, Iweje Igawa na Tunduma!? Muda mwingi unapotezewa DSM na Morogoro, issue ya ajali tuweke kando kwanza
Dar-Moro-Dom itakuwa express way njia 6 na kati ya hizo kutakuwa n dedicated lanes za Malori..

Morogoro Hadi Igawa njia ilishajengwa ni pana ya kutosha japo sio njia 4.

Kwa nini section ya Igawa ni Kwa sababu kule mwishoni Malori yanakuwa mengi maana ndiko destination na pia ndiko yanakoingilia kama tuu kipande Cha Dar-Moro..

On top of that Kuanzia Njombe Hadi Tunduma Kuna Miji Mingi sana hapo na hivyo traffic ya magari ya Kawaida ni kubwa sana on top of Malori.eg Mbeya Tunduma Costa zile zinaachiana dk 5 tuu kati ya gari na gari kutoka Stand ,hakuna section yenye minbus nyingi za Abiria kama hiyo ,labda ya Moshi Arusha inaweza fuata maana napo wanataka kuweka njia 4 pia..
 
Hata ukianzisha mada yenye heading ya kusifia Serikali watafuta au kubadili heading..

Ushahidi ni hii mada,Nikianza kuwa kuandika kwamba Rais Samia Aweka Alama ,wemebadili ..

Sishangai Kwa sababu hili ni liforum la Wapinzani wa Serikali ndio maana mada za kutukana Serikali Huwa wanazipa airtime kubwa sana
Kanda ya kaskazini maeneo mengi kwenye miundombinu ya usafiri yapo vizuri isipokua kulikuwa na changamoto baadhi ya maeneo ya Arusha kuingilia Manyara kwenye wilaya za simanjiro na kiteto pia kuunganisha maeneo ya kiteto to tanga na kiteto to dodoma. Huu mradi kama utakamilika ulivokusudiwa 🤔 aiseee itakua na faida kubwa sana. Maana kule kiteto pana arable land kubwa sana ina rutuba ipo productive sana
 
Pia nashauri waikumbuke barabara ya Makambako Songea. Imesha chakaa sana kwasababu ya Magari yanayochukua Makaa ya mawe.....na pia ni ya zamani mno
 
Mtindo mwingine tofauti na huu ni upi?
Ulikuwa na mapungufu gani?
Huu una faida gani??
PPP,GoT,Mkopo nk nk
Faida yake ni kwamba unajenga Barabara nyingi Kwa wakati mmja maana contractor ndio anatafuta financier wake na gharama atakazozitumia..

Pia contractor anabeba risks zoote Hadi atakapokuja kukabidhi mradi hivyo anakuwa makini kwenye ujenzi kuanzia kwenye design..

Utaratibu wa makubaliano na malipo ni WA mda mrefu yaani concessional agreement kama Ile mikopo ya mda mrefu yenye riba nafuu..
Na hii ni maalumu Kwa Barabara productive tuu sio Kila Barabara maana Ina attract relatively higher costs.

Mtindo wa zamani Hadi Serikalini ikusanywe pesa na mda wa mradi ni mfupi ilikuwa inazalisha riba kubwa Kwa mda mfupi na pia ujenzi wa kusuka sua..
 
Back
Top Bottom