ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #121
Uzuri hizi brabara zote na sections zote zitaanza Kwa pamoja yaani Kila section ya km 100 itakuwa na Camp kazi zinaendelea Kwa hiyo ndani ya miaka 4 Barabara nzima inakuwa imekamilika na inaanza uzalishaji immediately na hivyo kuwezesha kulipa deni mapema zaidi.Kuna maeneo kweli serikali ipewe maua yake