Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

Hiyo road ya Namtumbo Hadi kidatu nilikua nalisubiri kwa muda mrefu.
Kidatu mikumi or Morogoro kuna lami?
Ikikamilika tutakuwa tunatoka Songea asubuhi saa 6 tupo Moro, tunapanda sgr saa 10 upo Dar.
 
Kikwete alijenga nchi nzima na jina lake halijaandikwa kwa wino wowote sembuse huyo muuza nchi? Samia kazi yake ni kusaini mikataba tu, hasomi, hawamsomei, yeye anatia mkono tu.

Samia uwezo wake ni wa kua balozi wa nyumba 10 tu lakini ajabu eti ni rais wa nchi, hivi ni vichekesho.
we mbwaa kasoro mkia.
 
Mfano mrahisi ni huu mradi wa bomba la gas. Mkataba wake tuliambiwa utazalisha umeme wa 5,000mw kufika 2020. Na kutokana na kuwa na huo umeme mwingi tutauza nje, huku mgao wa umeme ukiwa ni historia. Huu ni mfano mmoja kati ya mingi ya kitapeli.

..bomba la mafuta Hoima to Tanga tumepigwa.

..serikali imesema hatutatoza kodi mafuta yatakayosafirishwa ktk bomba hilo.

..shujaa wao ndio aliidhinisha mkataba huo. sasa hata Uganda katufanya shamba la bibi.
 
Pumbavu

Kelele nyiiingi! Wakati huo huo mnatucheleweshea JKNHP yetu na SGR

Kama huo ni upumbavu, na hicho mnachotuambia hapa ni upumbavu
We nguchiro ,mradi wa Umeme sio madarasa ,yule aliyekuwa na visingizio Kwa nini hakumaliza Kwa miaka yake ?
 
..bomba la mafuta Hoima to Tanga tumepigwa.

..serikali imesema hatutatoza kodi mafuta yatakayosafirishwa ktk bomba hilo.

..shujaa wao ndio aliidhinisha mkataba huo sasa hata Uganda katufanya shamba la bibi.
Acha uzushi wewe kenge,wasitize harafu papara ya kung'ang'ania mradi ingetokana na nini Sasa?
 
Hiyo road ya Namtumbo Hadi kidatu nilikua nalisubiri kwa muda mrefu.
Kidatu mikumi or Morogoro kuna lami?
Ikikamilika tutakuwa tunatoka Songea asubuhi saa 6 tupo Moro, tunapanda sgr saa 10 upo Dar.
Kura zote Kwa Samia.

Ujenzi unaendelea kutoka Ifakara kidatu na Kuelekea Njombe
 
Narudia we kenge! Kama SGR na JKNHP ni upumbavu, basi na vyote mnavyotueleza ni upumbavu
Narudia kukwambie yule kichwa kikubwa akili kisoda Kwa nini hakukamilisha awamu yake?
 
Mpuuzi wewe umevimbiwa maharage unatoa mashuzi tu hapa barabara zilishajengwa hizo unazo pigia debe wewe ni marudio kwani watu wanapita kwenye vumbi hivi sasa!
Mbona kama unaharisha Kwa kutumia mdomo badala ya kizibo? Soma tena ujinga ulioandika
 
Hadi tuone. Kuna watu walivunjiwa nyumba zao mwaka wa pili sasa eti barabara ya lami inajengwa, hata barabara ya matope hakuna, mbwembwe za nini?
 
Unazungumzia Marais ma failures? Hapa tunazungumzia Samia.Hata hivyo Samia ana ukwamua na huo pia.
Chawa wote huwasifia marais wanaowapa mlo. Umejuaje kuwa Samia hatakuwa failure. Umeshindwa hata kutaja huo ujenzi wa hizo barabara unaanza lini na kukamilika lini. Hebu nitajie mradi wowote wa angalau 1t toka aingie madarakani ameshaukamilisha. Hiyo reli yenyewe ya SGR kipande cha Dar-Moro kilitakiwa kuanza nov 2019, lakini hadi leo ni porojo tu.
 
Hiyo road ya kidatu Njombe sijaielewa vizuri.
Hii hapa 👇
Screenshot_20230616-211531.jpg
 
Chawa wote huwasifia marais wanaowapa mlo. Umejuaje kuwa Samia hatakuwa failure. Umeshindwa hata kutaja huo ujenzi wa hizo barabara unaanza lini na kukamilika lini. Hebu nitajie mradi wowote wa angalau 1t toka aingie madarakani ameshaukamilisha. Hiyo reli yenyewe ya SGR kipande cha Dar-Moro kilitakiwa kuanza nov 2019, lakini hadi leo ni porojo tu.
Mimi sio chawa Wala sipati mlo.kwa Samia,najilisha..

Kwa hiyo wewe unavyosifiaga Mbowe na Lisu wewe ni chawa wao na wanakulisha au?

Wami,Songwe Airport
Slander bridge, Songea Airport
Umeme wa grid umewashwa Kigoma
Sgr vipande vyote vina Wakandarasi
Mabarabara ndio usiseme
Mahospital ndio usiseme eg Hospital Mpya ya Rufaa Meta Mbeya,Mtwara,Chato nk

Hapa unataka nijaze Seva Sasa,unataka sekta gani?
 
Serikali ya Rais Samia imeandika Historia Nyingine ya ubunifu Kwa kusaini Kuanza Ujenzi wa Barabara za Kuu za Lami kwenye Mikoa 13 Kwa pamoja Zenye jumla ya urefu wa km 2035 Kwa mtindo wa EPC +F Kwa gharama ya sh.Tilioni 3.7.

Engineering, Procurement, Construction and Finance (EPC+F).

Akizungumza wakati wa kushuhudia Kutiwa Saini Kwa mikataba hiyo Jijini Dodoma , Waziri wa Ujenzi Prof.Mbarawa amesema kwamba Barabara hizo hazitokuwa za kulipia tozo kama wapotoshaji wanavyosema.Ikumbukwe hii haijawahi tokea Toka Uhuru,walinda ligacy mnafundishwa kazi.


My Take
Samia anawaonesha kwamba Private Sector inalipa kuliko Ujamaa mbuzi ambao Baadhi ya watu wasiojielewa Wanakumbatia..

Ndio maana hata kwenye Bandari anataka awafundishe namna ya kutumia rasilimali Kwa manufaa ya watu badala ya kuhubiti propaganda za Uzalendo mbuzi na umaskini over years..

Hongera sana Mh.Rais Historia itaandika jina lako Kwa Wino Mwekundu..

The worst president ever!!Samia ni janga kwa nchi yetu,huyu mama uwezo wake ni kama mwijaku TU,hawezi kuongoza hata wilaya,
Marais wa AFRIKA,wakiongozwa na SA wapo Ukraine,kuongoza ujumbe wa amani Ili kusitisha vita,yeye Samia yup kajificha kwenye upuuzi wa ccm
 
Back
Top Bottom