Serikali ya Rais Samia imeandika Historia Nyingine ya ubunifu Kwa kusaini Kuanza Ujenzi wa Barabara za Kuu za Lami kwenye Mikoa 13 Kwa pamoja Zenye jumla ya urefu wa km 2035 Kwa mtindo wa EPC +F Kwa gharama ya sh.Tilioni 3.7.
Engineering, Procurement, Construction and Finance (EPC+F).
Akizungumza wakati wa kushuhudia Kutiwa Saini Kwa mikataba hiyo Jijini Dodoma , Waziri wa Ujenzi Prof.Mbarawa amesema kwamba Barabara hizo hazitokuwa za kulipia tozo kama wapotoshaji wanavyosema.Ikumbukwe hii haijawahi tokea Toka Uhuru,walinda ligacy mnafundishwa kazi.
My Take
Samia anawaonesha kwamba Private Sector inalipa kuliko Ujamaa mbuzi ambao Baadhi ya watu wasiojielewa Wanakumbatia..
Ndio maana hata kwenye Bandari anataka awafundishe namna ya kutumia rasilimali Kwa manufaa ya watu badala ya kuhubiti propaganda za Uzalendo mbuzi na umaskini over years..
Hongera sana Mh.Rais Historia itaandika jina lako Kwa Wino Mwekundu..