Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

Kwahiyo Kanda ya Ziwa baada ya JPM Kufa tuna adhibiwa eti?
Nyie wakati mnaadhibu wenzenu mlijua ni raha si ndio?

Pili huko Kanda ya Ziwa Kuna miradi kibao tuu inaendelea ya Barabara ila wewe Kwa kuwa umezoea umbea huwezi jua.
 
Acha porojo Mzee,Zingejengwa Km 12,000 kama unavyosema wewe Mikoa yote Tanzania ingekuwa imeunganishwa na lami..

Kikwete alijitahidi kujenga ndio ila sio zaidi ya km 8,000 tena Kwa miaka 10,Sasa hizi tunazozungumzia Sasa ni sehemu tuu ya maelfu ya Barabara zingine ambazo zikianza ujenzi 2021/22 na 2022/23,Bado za Bajeti Mpya ya 2023/24 hazijasainiwa elewa Hilo..

Ndio.kusema Kwa mwaka 2022/23 Kuna hizi km 2,000 plus plus hizi hapa zingine [emoji116]View attachment 2660092
Tatizo hujishughulishi na takwimu, unaongozwa na mihemuko kuliko weledi.

Nenda TANROADS wakupe takwimu.

Kama huwezi, chukua haya yakusaidie:

Wakati wa utawala wa Kikwete zilijengwa kilometa 12,000 barabara za lami. Barabara ndefu kabisa wakati wa utawala wake:
1) Dodoma-Tinde-Kahama-mpakani na Rwanda (zaidi ya kilometa 700)
2) Dodoma -Iringa (kilometer 264)
3) Tunduma-Sumbawanga-Mpanda (zaidi ya kilometa 400)
4) Songea=Tunduru-Masasi (zaidi ya kilometa 400)
5) Tinde = Mwanza (zaidi ya kilometa 200)
6) Mwanza = Geita - Bukoba- mpakani na Uganda (zaidi ya kilometa 400)
7) Dar - Iringa - Mafinga upgrade (zaidi ya 600km)
8) Chalinze -Korogwe-Moshi-Arusha upgrade (zaidi ya 500km)
9) Manyoni -Itigi-Tabora-Urambo (zaidi ya 300km)
10) Bwanga-Ngara-Kabanga-mpakani na Burundi (zaidi ya 300km)
Na nyingine nyingi za kilometa chini ya 300.

Nimekuwekea hizo chache ndefu ili ikusaidie isiye na kumbukumbu.

Tatizo mnaweka mihemko mbele, weledi mnaweka makabatini.

Wakati wa awamu ya Magufuli barabara za lami zimejengwa 2,800km.

Katika tawala zote, kilometer nyingi za barabara za lami zimejengwa wakati wa Kikwete.

Ungekuwa mtu wa kutafakari, ungejiuliza, hayo matengenezo ya kilometa zaidi ya 23,000 ya barabara kuu yalikuwa yanafanyika wapi kama hizo barabara hazikuwa tayari zimejengwa?

Kwanza ufahamu kuwa hakuna mkoa mpaka sasa hivi ambao haufikiki kwa barabara ya lami. Lakini kuna mikoa michache ambayo hazina barabara za kukatisha kuufikia mkoa jirani, mpaka upitie mkoa mwingine. Kwa mfano, una uwezo wa kutoka Dar mpaka Songea kwa barabara za lami 2, yaani Dar-Masasi-Songea; na Dar-Iringa-Songea. Lakini hakuna barabara ya lami ya kukatisha kutoka Mikumi direct to Songea. Vivyo hivyo kwa mikoa kama Tanga to Dodoma. Lakini una uwezo wa kufika Dodoma toka Tanga kwa barabara ya lami. Kabla ya utawala wa Kikwete kuna mikoa ambayo ilikuwa hakuna hata barabara moja ya lami ya kufikia makao makuu ya mkoa, hata kwa kuzunguka.
 
Poor journalism. WTF is EPC+F?? Lengo la habari ni ujumbe uwafikie walengwa (wananchi), kutumia maneno na vifupisho visivyoeleweka na wengi ni ukanjanja na unapoteza ujumbe wote kwa ujumla.

Unless kama huo mradi ni porojo tu na propaganda kwahiyo hiyo ni mbinu ili next time wasiulizwe zile barabara za 'EPC+'F zinaendelea vipi.
Wewe kweli ni mzalendo uchwara.
Mbona mleta Mada ameweka na kirefu chake .
Soma ujumbe uumalize ndiyo uanze kucoment.
 
Pumbavu. Mbona hakuna barabara hata moja ulizoorodhesha hapo katika Mikoa yoyote ya Kanda ya Ziwa kuanzia Mara mpk Kigoma. Uongozi ni ule unaoacha alama sio poroja unazoleta hapa. Afu unachokipenda wewe sio lazima akipende mwenzio so acha kauli za kubeza wanaopenda usichopenda wewe.
Matusi hayatawasaidia ,mtu wenu si aliwajengea airport ya Chato nenda mkaduke ndio kulikuwa kipaombele 😁😁

Ndio maana Huwa nasema hakuna kitu Cha maana aliwasaidia ni alikuwa mjinga,pesa bil.725 za daraja zingetosha kujenga Barabara zalami Lake zone yote na Jiji la Mwanza lote ila ndio hivyo tatizo ni kichwa kikubwa akili kisoda..

Sasa Iko hivi mama ni Muingwana wala usijari amewafikia hata huko..

Hapo Mwanza Jiji na Kahama Kuna tactic zaidi ya km 27 za lami mtaani mtapata na Kahama ni zaidi ya km 20..

Kuhusu Barabara Kubwa za Mikoa Kagera pekee Kuna miradi 4 inaendelea,Mara Kuna miradi 3 na Mwanza Kuna mradi 1..

Harafu usikariri sio lazima Kila Barabara ijengwe Kwa EPC+F,hii model ni Kwa Barabara za kiuchumi tuu,nyie mnajengewa Kwa utaratibu wa kawaida 👇
Screenshot_20230617-070638.jpg
 
Tena dhahabu Nyekundu,wakati Jiwe anatumia mtutu kuongoza na visingizio kibao Samia anakimbiza mwizi kimya kimya..

Toka Nchi Imepata Uhuru Sasa ndio tumepata Rais .

Ngoja ndugu zake nyerere wa jamiiforum wakuijie na hilo jibu la kupata uhuru 😁 yani huwaambii kitu kuhusu nyerere

Niseme tu, mama anaupiga sana, na tumtakie kila la heri

Mwisho kabisa,SSH is the best president ever

ALEYOMBA GEKKE NKOI CHOICE VARIABLE, SSH is the best president ever ever...wanaomchukia wana lao jambo
 
Mbona hayo ma fly-over Dar nzima, na Mogororo Road...ni JPM
Sasa flyover 2 ndio zinakuchanganya? Acha ushamba flyover ni daraja tuu na Kuna Madaraja Yana gharama kubwa kuliko huyo tu flyover..JK mwenyewe alijenga kule kurasini punguza ujinga.
 
Kikwete alijenga nchi nzima na jina lake halijaandikwa kwa wino wowote sembuse huyo muuza nchi? Samia kazi yake ni kusaini mikataba tu, hasomi, hawamsomei, yeye anatia mkono tu.

Samia uwezo wake ni wa kua balozi wa nyumba 10 tu lakini ajabu eti ni rais wa nchi, hivi ni vichekesho.
Waulize CCM wenzako iliwezekana vipi wakampa umakamu then urais
 
Ngoja ndugu zake nyerere wa jamiiforum wakuijie na hilo jibu la kupata uhuru 😁 yani huwaambii kitu kuhusu nyerere

Niseme tu, mama anaupiga sana, na tumtakie kila la heri

Mwisho kabisa,SSH is the best president ever

ALEYOMBA GEKKE NKOI CHOICE VARIABLE, SSH is the best president ever ever...wanaomchukia wana lao jambo
Hawawezi kukubari hili ila nawaambia Tanzania itakuwa Mpya chini ya Samia Kwa sababu ni Rais mwenye akili bahati n Nyota kali sana.
 
Matusi hayatawasaidia ,mtu wenu si aliwajengea airport ya Chato nenda mkaduke ndio kulikuwa kipaombele [emoji16][emoji16]

Ndio maana Huwa nasema hakuna kitu Cha maana aliwasaidia ni alikuwa mjinga,pesa bil.725 za daraja zingetosha kujenga Barabara zalami Lake zone yote na Jiji la Mwanza lote ila ndio hivyo tatizo ni kichwa kikubwa akili kisoda..

Sasa Iko hivi mama ni Muingwana wala usijari amewafikia hata huko..

Hapo Mwanza Jiji na Kahama Kuna tactic zaidi ya km 27 za lami mtaani mtapata na Kahama ni zaidi ya km 20..

Kuhusu Barabara Kubwa za Mikoa Kagera pekee Kuna miradi 4 inaendelea,Mara Kuna miradi 3 na Mwanza Kuna mradi 1..

Harafu usikariri sio lazima Kila Barabara ijengwe Kwa EPC+F,hii model ni Kwa Barabara za kiuchumi tuu,nyie mnajengewa Kwa utaratibu wa kawaida [emoji116]View attachment 2660119

Kuwa chawa ni Mzigo wa dhambi na kuwa mwanakijani aina yako tayari unatokuwa unatoka Ukoo mmoja wa kishetani. Haya kachukue UDASI wa Mchamba wima
 
Alijenga Nchi nzima km ngapi? Ingekuwa kajenga Nchi nzima hizi zinaenda kujengwa za nini Sasa si alijenga Nchi nzima?

Mwisho alijenga km ngapi na Kwa mda gani vs Samia ambae Kwa awamu hii tuu ya kwanza amefanya mambo mengi hakuna Rais ana weza kumfikia na ni Kwa sekta zote.kuanzia Kilimo Hadi Maji.
Huwezi kumpinga Kikwete Kwenye Ujenzi Wewe Mbulula.
Kama Unamsifia Samia Msifiye Lkn Usimfananishe Na Kikwete.
Bado Hajamfikia.
 
Ningependa na barabara za Shinyanga to Mwanza, especially ya Mwanza sehemu kubwa imeoza, watuwekee lami iliyo enda shule mkuu, asilimia kubwa ya barabara hiyo imejaa viraka, lami isiyo na kiwango, marais waliopita sijaona wa kushughulikia, kutwa kuziba mashimo/viraka. In short barabara ya mwanza to shinyanga imechoka, waibomoe yote na waanze upya
 
ii) Barabara ya Arusha – Kibaya – Kongwa (km 453.42) inapita katika Mikoa ya Arusha, Manyara na Dodoma na inapita katika Majimbo ya Arusha Mjini, Arumeru Magharibi, Simanjiro, Kiteto na Kongwa;

iii) Barabara ya Handeni – Kiberashi – Kijungu – Kibaya – Njoro – Olboroti – Mrijo Chini – Dalai – Bicha – Chambolo – Chemba – Kwa Mtoro – Singida (km 384.33) inapita katika Mikoa ya Tanga, Manyara, Dodoma na Singida na inapita katika Majimbo ya Kilindi, Chemba, Kiteto, Singida Mashariki na Iramba Mashariki;
Kuna maeneo kweli serikali ipewe maua yake
 
Mpuuzi wewe umevimbiwa maharage unatoa mashuzi tu hapa barabara zilishajengwa hizo unazo pigia debe wewe ni marudio kwani watu wanapita kwenye vumbi hivi sasa!
Kipara kipya una matatizo.
Hakuna barabara Ata Moja Iliyotajwa Hapo Ambayo Imejengwa kwa Kiwango cha Lami
 
Hapa Bado Kuna tatizo la priorities, malori yote yanatoka Bandarini kuelekea nchi jirani za Burundi, Uganda na Rwanda huwa malori yanagawanyikia Morogoro uelekeo WA Dodoma, na pia uelekeo wa Malawi, Zambia. Na Congo DRC malori huendelea uelekeo WA mbeya, Sasa priority ya kuweka njia za malori ni kati ya DSM na Morogoro, Iweje Igawa na Tunduma!? Muda mwingi unapotezewa DSM na Morogoro, issue ya ajali tuweke kando kwanza
 
Ni mimi tu ndio sijaona maana ya EPFC, ni nini hasa?
Huwezi jua shida unashinda kwenye umbea mda mwingi..

EPC+F maana yake Engineering (detailed design),Procurement, Construction and Financing..

Kiufupi Serikali inaalika mkandarasi anaeweza kufanya hizo kazi na aoneshe financing model kabisa harafu wnakubaliana gharama Kwa mda mrefu yaani concessional agreement,risks zote atabeba contractors hivyo itamlazimu kuwa makini na kujenga Kwa Ubora na atakuwa analiowa mdogo mdogo ndani ya mda wa consessional agreements inaweza fika miaka 30 na mda wote huo ni wajibu wa contractor ku maintain Barabara kabl ya kuja kukabidhi.
 
Back
Top Bottom