Zaidi ya kunitia ndani, kunipiga na kunitesa, je mwanasiasa aliye madarakani ana kipi kingine cha kunifanya?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wanasiasa mliopo madarakani msitutishe, kwani zaidi ya kunitesa, kunipiga na kunitia ndani huna kingine cha kunifanya.

Ukishayafanya hayo nikirudi uraini nitakuwa Nitshill zaidi kwako na kwa wanao.

Msitafute balaa kwenu ninyi binafsi na kwa vizazi vyenu kisa tu ulevi wa madaraka
 
Wakirudi mtaaani wanakuambia aagh Yale ni mambo ya Kazi tu yameshapita
 
Wanasiasa mliopo madarakani msitutishe, kwani zaidi ya kunitesa, kunipiga na kunitia ndani huna kingine cha kunifanya.

Ukisha yafanya hayo nikirudi uraini nitakuwa Nitshill zaidi kwako na kwa wanao.

Msitafute balaa kwenu ninyi binafsi na kwa vizazi vyenu kisa tu ulevi wa madaraka
Natamani nikusaidie kuwatukana kabisa hao mashetani
 
nimejifunza asali ni hatare kwa uhuru wa kujieleza kuliko Bunduki

sasa hivi kazi ya kukosoa kaachiwa Mdude
 
Wanasiasa mliopo madarakani msitutishe, kwani zaidi ya kunitesa, kunipiga na kunitia ndani huna kingine cha kunifanya.

Ukisha yafanya hayo nikirudi uraini nitakuwa Nitshill zaidi kwako na kwa wanao.

Msitafute balaa kwenu ninyi binafsi na kwa vizazi vyenu kisa tu ulevi wa madaraka

Kingine wanaweza Kukuua
 
kuuwawa
 
Back
Top Bottom