Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walichukua vijana wa mjini badala ya kuchukua vijana wakulima walioko vijijini.Wakachukua mitoti ya mjini yenye connections na vigogo
Hata wakiungana???Wakulima halisi wenye kazi zao wamewatosa,mna watafuta vijana waliyozoea kushinda kidimbwi ndy muwapeleke shamba,wataweza wapi ???
Ova
Wangeokotwa kwenye viroba bahariniSasa Hivi Watu Hawana Woga Wanachota Pesa Wanatembea Nazo Hadharani
Mzilankende Angewapa Tabu Sana Wizara Ya Kilimo AngewAnyima Pumzi Haya Majizi
Yeye na yule wa Samaki😂! Soon pia wale wa Samaki nao watalia na kusaga meno😭😭Kwahiyo Bashe kapiga fungu lake hapo kapita hivi?
Bashe Kajiamini kuwa anaweza outsmart wenye BBT yao Duniani😂.Bado yule wa Samaki!! Kila Goti litapigwaBBT Build Bashe Today, wameshakula hela tayari
Hakuna cha mvua za elnino wala makalio ya El nino ,kilimo ni biashara inayohitaji heavy investmentBado mimi naamini kuwa, nia ilikuwa njema
Changamoto kubwa ni hizi mvua za Elmino zilizonyesha hapo nyuma; wakulima ndio wanajua madhara yake...
waliopo nyuma ya key board hawawezi kuelewa, watabakia kulaumu tu
Hii nimeandika kutokana na uzoefu wangu kwenye masuaa ya Kilimo!
Wana pesa za kununua Toyota landcruisers za milioni 500 + ila hawana pesa za kununua agricultural machineries na kuwapa ardhi hao vijana ili walime kisasa .Mkuu hivi kuna mtu mwenye akili timamu alikuwa anategemea matokeo chanya kutoka kwa hawa matapeli? Daa watanzania ni rahisi sana kudanganywa. Maendeleo kwenye kilimo yangekuwa yanaletwa kwa usanii namna hiyo kuna nchi ingekuwa na tatizo la chakula?
Watu wanalima huko maelfu ya hekari kwa kutumia mitambo ya kisasa , wanazalisha ngano , soya , mchele ,miwa nkMkuu hivi kuna mtu mwenye akili timamu alikuwa anategemea matokeo chanya kutoka kwa hawa matapeli? Daa watanzania ni rahisi sana kudanganywa. Maendeleo kwenye kilimo yangekuwa yanaletwa kwa usanii namna hiyo kuna nchi ingekuwa na tatizo la chakula?
Tatizo hata hao vijana wa kidimbwi wanawawezesha basi ?Wakulima halisi wenye kazi zao wamewatosa,mna watafuta vijana waliyozoea kushinda kidimbwi ndy muwapeleke shamba,wataweza wapi ???
Ova
Sasa Hivi Watu Hawana Woga Wanachota Pesa Wanatembea Nazo Hadharani
Mzilankende Angewapa Tabu Sana Wizara Ya Kilimo AngewAnyima Pumzi Haya Majizi
Hakuna cha mvua za elnino wala makalio ya El nino ,kilimo ni biashara inayohitaji heavy investment
Mi upumbavu gani huo wa kupeleka hilo kundi la hao watu mnasema mnaenda kuwapa mafunzo ,mbinu na nyenzo za kisasa ili kufanya kilimo cha tija ,halafu mnakuja kuwatelekeza na kuwatumia kama peasants wa kwenye plantations za mkoloni , yaani kilimo ninyi sijui mnakionaaje , kilimo ni uwekezaji na si maneno , yaani hao vijana waje walime kwa kutumia jembe la mkono , wakati kilimo kwa sasa kuna heavy duty machineries na mifumo ya kisasa ndio inayotumika ili kuleta kilimo cha tija , ardhi yenyewe waliyo ahidiwa hawakupewa ,funds hawakupewa , wamekusanywa na kulundikwa kwenye concentration camps kama misukule .
Nchi ya kipumbavu sana hii
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Sio hivyo tu hakuna jambo serikali hii ya ccm iliyowahi kufanya LIKAFANIKIWA hakuna.Watanzania ni wachawi na maneno ya watanzania ni ya kichawi. Watu walishasema na kutabiri huu mradi wa BBT hautafanikiwa.