Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

Hizo ni basi 200 tu, hiyo ishu ndogo sana, Abood peke yake anaweza kuisort,, 😀
 
Haya mambo ya ubabe na ukatili yalianzia kwa JPM tuhakikishe viongozi kama hawa hawapati nafasi tena nchini.
 
Watu wanateseka namna hii halafu wanaolamba asali ni wale wenye koneksheni.
 
Shughuli yenyewe mama kaikimbia baada ya kuona mvua ghafla, mambo ayaeleweki.

Sasa kama kuna watu hawana pa kwenda baada ya hapo sijui itakuwaje.
 

Itakuwa alihitaji kuwalipa Simba kwanza. Wawe na subira hazina milango itafunguliwa kesho.
 
Wafwate kilichowapeleka kumpongeza rais sio kula wala kulala.

Waambie waache uvivu wakeshe wakiimba nyimbo za kumpongeza rais baada ya kongamano kila hao watakimbia mchaka mchaka kurudi kwao.
😂😂😂😂 nchi hii nyie!
 
Huu ni ujinga mpya wa watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…