RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Injili ya kweli ni ipi?Mimi naijua injili ya kweli ndiyo maana.... siyo hii ya mungu mwenye nafsi 3 wala Yesu wa dhambi ya asili ....siku nikiamua kuleta uzi wa dini waislamu na wakristo watapoteana .. siku za nyuma kuna jqmaa alileta uzi wa 666 ...ule uzi nilitoa fafanuzi hadi mwenye uzi aliukimbia watu wakawa wanangoja awaletee maelezo ya 666 jamaa alishindwa kutokana na fafanuzi niliyo toa nilieleza 666 ni nini ...wapumbavu wa makanisani wanadanganyani mambo mengi
Hujajibu swali....Hekalu ni moja tu ...kama ujui kwanini jiulize kwanini daudi alikataliwa kujenga hekalu ...kanisa na sinagogi anajenga mtu yoyote ila hekalu lilikuwa ni moja milele daima kasome upya maandiko utajua kuwa hekalu siyo sawa na sinagogi .....fungu la kumi lilikuwa ni kwa ajili ya hekalu.
1 Wakorintho 9:13-14Kwa maagixo ya nani? Na una uthibitisho wowote unachosema?
Je kuna chochote kinaweza kuonyesha ulichosema m?
In maana mpaka karne hii hekalu ni moja tu ?...kanisa na sinagogi anajenga mtu yoyote ila hekalu lilikuwa ni moja milele daima kasome upya
Kwani ibada za hekaluni na kwenye sinagogi zina tofauti gani ?maandiko utajua kuwa hekalu siyo sawa na sinagogi .....fungu la kumi lilikuwa ni kwa ajili ya hekalu.
Kanisa ni mwili wa Kristo maana yake ni sawa na kusema Kanisa ndiye Kristo.Hekalu ni Jengo na Kanisa ni mwili wa Kristo
Utatia ng'ombe 10Habari. Assume wewe ni mfugaji wa Kiebrania. Umepewa urithi wa ng'ombe 100 na baba yako. Ndani ya mwaka wakazaliwa ngombe 20. Ukawa na ng'ombe 120. Wakati wa kutoa zaka unefika.
Je utatoa ng'ombe wawili kama asilimia kumi ya ng'ombe ishirini walioongezeka au utatoa ng'ombe 12 kama asimilia kumi ya ng'ombe 120 ulionao? Vipi mwaka huo upate majanga na kubakiwa na ng'ombe 80. Utatoa zaka kiasi gani?
Unazijua kazi za hekaluni zilizofanywa na watu wa hekalu...1 Wakorintho 9:13-14
[13]Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekaluni hula katika vitu vya hekalu, na wale waihudumiao madhabahu huwa na fungu lao katika vitu vya madhabahu?
[14]Na Bwana vivyo hivyo ameamuru kwamba wale waihubirio Injili wapate riziki kwa hiyo Injili.
Mungu wa Agano la Kale ni yuleyule wa Agano Jipya.
Ile net inayoingia kwenye account baada ya makato Mimi hua nafanya ivoje mfanya kazi mwenye mshahara ya 1m kwa mwezi atatoa 100k au atasubir kwanza akate gharama zote alizoingia katika kufanya io kazi mfano nauli kwenda ofisini, chakula akiwa ofisin nk atoe asilimia 10 ya bakaa itayobaki? naomba unijibu mkuu
Kwenye desturi za kale za Kiyahudi kazi za hekaluni zilifanywa zaidi na kuhani mkuu ambaye aliingia patakatifu pa patakatifu mara moja kwa mwaka.Unazijua kazi za hekaluni zilizofanywa na watu wa hekalu...
Kazi kubwa ilikuwa ni kufanya ukuhani hivyo walikuwa hawana kazi nyingine zaidi ya hiyo ilikuwa ni 24/7 wanashinda kwenye madhabahu...
Tupe andiko kwamba Zaka iliacha kuwepo lini?....Ndo maana mwanzoni nikasema watu hamjui maana ya zaka na inatolewaje na iliacha kuwepo lini na hasa ilikuwa na msingi upi..
Break even ni Ile point ambayo faida ni zero Yani kama ni biashara umeuza Yale mapato ukatoa matumiz mfano gharama za umeme,maji wafanyakaz...ukajikuta ela yote umeishia kulipa izo gharama ukabaki na nothing...hiyo Ndo break evenBreak even ni faida au hasara Mkuu.. hii terminology ya kiuchumi huwa naikoroga
Umeanza vizuri ila umemaliza vibaya..Kwenye desturi za kale za Kiyahudi kazi za hekaluni zilifanywa zaidi na kuhani mkuu ambaye aliingia patakatifu pa patakatifu mara moja kwa mwaka.
Ila baada kifo cha Kristo kilichozaa agano jipya na kanisa, wale wote waliomkiri Kristo wanaweza kupaingia patakatifu pa patakatifu.
Kasome kitabu cha Waebrania....
Angalau sheria za kiislam zilo fair kiasi fulan..Kwa sheria za kiebrania sijui kwa kweli
Nitakuja kuelezea zaka kiislam, nani anapaswa kutoa na nani sheria haimbani. Yupi atoe na kwa kiwango gani.
Ndugu Proved usibishane na watu wasioamini uwepo wa Roho MTAKATIFU,Kwenye desturi za kale za Kiyahudi kazi za hekaluni zilifanywa zaidi na kuhani mkuu ambaye aliingia patakatifu pa patakatifu mara moja kwa mwaka.
Ila baada kifo cha Kristo kilichozaa agano jipya na kanisa, wale wote waliomkiri Kristo wanaweza kupaingia patakatifu pa patakatifu.
Tupe andiko kwamba Zaka iliacha kuwepo lini?....
Rabbon Mfalme Sulemani
Duuuh!...hapo umemwibia MunguMfano umewekewa 1000000 ukapata 20000,then chukua hyo 20000/100 ndio zaka yako