dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,370
- 57,943
Polisi wote Tanzania wamefanya nini? Irrelevant!Hivyo familia za polisi wote Tanzania na koo zao zote zinapaswa kuangamizwa ?
Polisi wote Tanzania wamefanya nini? Irrelevant!Hivyo familia za polisi wote Tanzania na koo zao zote zinapaswa kuangamizwa ?
Polisi imeshutumiwa kuhusika katika matukio ya utekaji na mauaji kwa wahanga kadhaa hapa nchini, Je, polisi wote wana stahili kuawa kwa makosa ya polisi kadhaa ?Polisi wote Tanzania wamefanya nini? Irrelevant!
Polisi wote wamezaliwa na mzazi mmoja? We jamaa uelewa wako so questionable. Ubini wao ni mmoja?Polisi imeshutumiwa kuhusika katika matukio ya utekaji na mauaji kwa wahanga kadhaa hapa nchini, Je, polisi wote wana stahili kuawa kwa makosa ya polisi kadhaa ?
Kwa nini umuhusishe Zakaria na matendo ya ndugu zake ilihali mpaka sasa umeshindwa kuleta ushahidi wa yeye Zakaria kuhusika katika kundi la Hamas
Waarabu wenye sura za upole km huyu ni makatili sana nyuma ya paziaHuyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuniView attachment 3338351View attachment 3338352
HAKUNA CHA ASAMPSHEN HAPA. ISRAEL PLEASE DON'T SORT THEM JUST KILL THEM ALL MAAMAE!Hujajua maana hujui ila unaleta assumptions tu.
Mbona huyasemi ya HAMAS kuua kwa unyama Waisraeli na Mtanzania mwenzetu mmoja Oct 17. siungj mkono mauaji lakini hata hizi propaganda ni sehemu ya vita., ngoja watetee Taifa lao.Kwanza ustadhi Bado hajafa yuko hai lakini ana Hali mbaya baada ya kulipuliwa akiwa pamoja na familia yake tumuombee afya, na yeye si miongoni mwa hamasi alikua na maisha yake hajawahi kuhusika na misheni yoyote alikua na maisha yake ya uhadhiri amedhulumiwa pamoja na familia yake.
Usiulize kuhusu Zacharia uliza kuhusu watoto wadogo ambao wameapiwa kuuawa na myahudi
Tuonyesheni picture za Abu Obaida na Mohamed Al Sinwar wamekufa au Al Abria hawana video zao hahahaHAKUNA CHA ASAMPSHEN HAPA. ISRAEL PLEASE DON'T SORT THEM JUST KILL THEM ALL MAAMAE!
NO MERCY
Adiosamigo
Nyau de adriz
We baniani kuna makatili kama nyie huko India mpaa mnakula nyama za binadamu afu nyama ya ngo'mbe hamli kama si uchizi huo ni nini tenaWaarabu wenye sura za upole km huyu ni makatili sana nyuma ya pazia
Hawa wakitaka kufanya jambo lake anaficha uso anakukata shingo km kuku😁😁😁
Hahaha dogo, kunya ukalale.We baniani kuna makatili kama nyie huko India mpaa mnakula nyama za binadamu afu nyama ya ngo'mbe hamli kama si uchizi huo ni nini tena
Nadhani IDF wanajua zaidi wao wangeweza kukupatia jibuMkuu nahitaji facts ndio msingi wa huu uzi na sio assumptions zisizo na kichwa wala miguu kumuhusu Zakaria na Hamas
HayaHAKUNA CHA ASAMPSHEN HAPA. ISRAEL PLEASE DON'T SORT THEM JUST KILL THEM ALL MAAMAE!
NO MERCY
Adiosamigo
Nyau de adriz
Alifundisha vijana misimamo mikaliHuyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuniView attachment 3338351View attachment 3338352
Mahmoud Abbas alisema HAMAS NI WATOTO WA MBWA.Kwanza ustadhi Bado hajafa yuko hai lakini ana Hali mbaya baada ya kulipuliwa akiwa pamoja na familia yake tumuombee afya, na yeye si miongoni mwa hamasi alikua na maisha yake hajawahi kuhusika na misheni yoyote alikua na maisha yake ya uhadhiri amedhulumiwa pamoja na familia yake.
Usiulize kuhusu Zacharia uliza kuhusu watoto wadogo ambao wameapiwa kuuawa na myahudi
So kwa sasa atakuwa ana mabikra 72? Ana enjoy sana.huenda alikua kitengo maalumu cha dini akiwa mtu muhimu kushawishi wapambanaji wa Hamas kwa mawaidha kwenye ibada kutokukata tamaa wala kurudi nyuma kwenye hiyo Jihad kwani ikitokea kuuawa, moja kwa moja unaenda akhera.
huenda hilo ndilo haswa lilikua jukumu lake muhimu 🐒