Zakaria Sinwar alikuwa na kitengo gani ndani ya Hamas?

Jf imefirisika great thinkers.
Israel imepitisha azimio la kuwa iwapo muarabu yoyote wa kinachoitwa "palestina" atahusika kumuua Myahudi, baasi kisasi kitahusika mpaka kwa ndugu wa huyo muarabu, kwa pale West Bank wanabomoa hadi nyumba ya huyo muarabu aliyehusika na mharifu.......So usishangae ukoo wa SINWAR woote ukapukutika, ni sehemu ya kisasi cha Israel
 
Kibaraka wenu huyo anakula shisha pale West bank
Kibaraka wa nani? Wewe ni Hamas? Hamas anaishi kwa Mtogole? Mimi nipo Egypt kwa sasa nina Kibaraka Palestine? Au na wewe unajiona ni Hamas ukiwa unaishi Vingunguti au Tandale kwa Mtogolwe. Wewe black man mtumwa tu. Hata Hamas hawakufahamu. Msikilize mtu ambaye yupo jikoni. Mahmoud Abbas yupo huko wewe unasugua gaga hapo Tandale maji Matitu.
 
Mbona panik brother Mimi nimesema anakula kuku pale West bank. Mimi Hamas hawanifahamu, Mimi sifahamiki popote ila ninajua kinachofanyika hapo katika ardhi iliyoibiwa
 
Yes anakula kuku ni jambo zuri. Halafu wewe unakula miguu ya kuku na vichwa. Huyu jamaa kagundua hawa jamaaa wa hamas ni mambwa tu.
 
Sawa lakini atuache Sasa sisi mbwa yeye aendelee hakuna ubaya
 
Waarabu wenye sura za upole km huyu ni makatili sana nyuma ya pazia

Hawa wakitaka kufanya jambo lake anaficha uso anakukata shingo km kuku😁😁😁
Kwahiyo khanji ndugu yangu, unataka kunambia baba wa taifa la India 🇮🇳 mahatma gandhi licha ya kua na sura ya upole nae alikua gaidi sababu ya ubaguzi wa rangi kwa watu weusi. Hapo sijazungumzia tabia yake chafu ya kulala na vibinti vyenye umri mdogo.

Still bado hamjajibu kile mkuu mimi alichouliza kupitia uzi wake.
 
Ni kosa kubwa kumfananisha mahtama na waarabu mkuu

Ukweli ni kuwa waarabu ni watu wakatili sana hasa wakiwa majority
 
Kweli wew ni selfish rafiki angu, maana ukatili wanaofanya ndugu zako wahindi kwa watu weusi na ubaguzi wao hauna tofauti na ugaidi. Maana mtu mbaguzi anaweza pia akamtendea unyama wowote yule anayembagua.
 
Kumbe profesa hakufa; waliouawa on the spot ni watoto wake watatu ambao walizikwa the same day.

Of course yeye alipelekea mochuari baadaye wakagundua anahema karudishea wodini. Sijui hali yake kwa sasa

It is very sad but mafilisti waache uchokozi waishi kwa amani. Mi mi.
 
Kweli wew ni selfish rafiki angu, maana ukatili wanaofanya ndugu zako wahindi kwa watu weusi na ubaguzi wao hauna tofauti na ugaidi. Maana mtu mbaguzi anaweza pia akamtendea unyama wowote yule anayembagua.
sawa boss nitajaribu kubadili mtazamo
Napenda kujifunza kwa mtu.yeyote
 
Back
Top Bottom