Zakaria Sinwar alikuwa na kitengo gani ndani ya Hamas?

Zakaria Sinwar alikuwa na kitengo gani ndani ya Hamas?

Facts zitatokavwapi wakati sote tupo BONGO?
Unaweza kuwa Tanzania na bado ukawa mchambuzi mzuri wa masuala ya kimataifa japo mpaka sasa sijapata majibu ya maswali yangu
 
Unaweza kuwa Tanzania na bado ukawa mchambuzi mzuri wa masuala ya kimataifa japo mpaka sasa sijapata majibu ya maswali yangu
Sio hujapata hujataka kuelewa TU, Kama angekua member wa hamasi sidhani Kama angeishi maisha ya kawaida juu ya ardhi maana ndugu zake wote walikua hawaonekani na Israel hajawahi kumtafuta wala kumtia Kashi kashi
 
Jf imefirisika great thinkers.
 
Ipo hivi.. Mara nyingi katika medali za vita viongozi na vizazi vyao vyote huangamizwa ili kufuta ile nasaba na kuibua hisia na chembechemve fulani za kuhuisha jamii husika.
 
Israel pekee ndo anawaweza magaidi anawapelekea moto bila kujali nani yuko karibu na gaidi
 
Back
Top Bottom