Zakaria Sinwar alikuwa na kitengo gani ndani ya Hamas?

Polisi wote Tanzania wamefanya nini? Irrelevant!
Polisi imeshutumiwa kuhusika katika matukio ya utekaji na mauaji kwa wahanga kadhaa hapa nchini, Je, polisi wote wana stahili kuawa kwa makosa ya polisi kadhaa ?

Kwa nini umuhusishe Zakaria na matendo ya ndugu zake ilihali mpaka sasa umeshindwa kuleta ushahidi wa yeye Zakaria kuhusika katika kundi la Hamas
 
Polisi wote wamezaliwa na mzazi mmoja? We jamaa uelewa wako so questionable. Ubini wao ni mmoja?
 
Magaidi na washirika wao kwa namna Moja au nyingine na vizazi vyao vikibainika kua na chembe chembe za kigaidi
Dawa ni kuwafutilia mbali ndicho anacho kufanya Israel ni kuwapelekea moto wa kuzimu tu
 
Mbona huyasemi ya HAMAS kuua kwa unyama Waisraeli na Mtanzania mwenzetu mmoja Oct 17. siungj mkono mauaji lakini hata hizi propaganda ni sehemu ya vita., ngoja watetee Taifa lao.
 
Polisi wote wamezaliwa na mzazi mmoja? We jamaa uelewa wako so questionable. Ubini wao ni mmoja?
Kwa hiyo ubini wao una uhusika nini na Zakaria kushambuliwa ? Kwa nini ashambuliwe kwa sababu ubini wake na sio uhusika wake ?
 
Waarabu wenye sura za upole km huyu ni makatili sana nyuma ya pazia

Hawa wakitaka kufanya jambo lake anaficha uso anakukata shingo km kuku๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Upole wa sura yake una husika vipi na yeye kushambuliwa na IDF ?
 
Magaidi na washirika wao kwa namna Moja au nyingine na vizazi vyao vikibainika kua na chembe chembe za kigaidi
Dawa ni kuwafutilia mbali ndicho anacho kufanya Israel ni kuwapelekea moto wa kuzimu tu
Hujajibu swali mkuu nililo uliza
 
Mahmoud Abbas alisema HAMAS NI WATOTO WA MBWA.
 
So kwa sasa atakuwa ana mabikra 72? Ana enjoy sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ