Israel imepitisha azimio la kuwa iwapo muarabu yoyote wa kinachoitwa "palestina" atahusika kumuua Myahudi, baasi kisasi kitahusika mpaka kwa ndugu wa huyo muarabu, kwa pale West Bank wanabomoa hadi nyumba ya huyo muarabu aliyehusika na mharifu.......So usishangae ukoo wa SINWAR woote ukapukutika, ni sehemu ya kisasi cha IsraelJf imefirisika great thinkers.
Kibaraka wa nani? Wewe ni Hamas? Hamas anaishi kwa Mtogole? Mimi nipo Egypt kwa sasa nina Kibaraka Palestine? Au na wewe unajiona ni Hamas ukiwa unaishi Vingunguti au Tandale kwa Mtogolwe. Wewe black man mtumwa tu. Hata Hamas hawakufahamu. Msikilize mtu ambaye yupo jikoni. Mahmoud Abbas yupo huko wewe unasugua gaga hapo Tandale maji Matitu.Kibaraka wenu huyo anakula shisha pale West bank
Mbona panik brother Mimi nimesema anakula kuku pale West bank. Mimi Hamas hawanifahamu, Mimi sifahamiki popote ila ninajua kinachofanyika hapo katika ardhi iliyoibiwaKibaraka wa nani? Wewe ni Hamas? Hamas anaishi kwa Mtogole? Mimi nipo Egypt kwa sasa nina Kibaraka Palestine? Au na wewe unajiona ni Hamas ukiwa unaishi Vingunguti au Tandale kwa Mtogolwe. Wewe black man mtumwa tu. Hata Hamas hawakufahamu. Msikilize mtu ambaye yupo jikoni. Mahmoud Abbas yupo huko wewe unasugua gaga hapo Tandale maji Matitu.
Yes anakula kuku ni jambo zuri. Halafu wewe unakula miguu ya kuku na vichwa. Huyu jamaa kagundua hawa jamaaa wa hamas ni mambwa tu.Mbona panik brother Mimi nimesema anakula kuku pale West bank. Mimi Hamas hawanifahamu, Mimi sifahamiki popote ila ninajua kinachofanyika hapo katika ardhi iliyoibiwa
Sawa lakini atuache Sasa sisi mbwa yeye aendelee hakuna ubayaYes anakula kuku ni jambo zuri. Halafu wewe unakula miguu ya kuku na vichwa. Huyu jamaa kagundua hawa jamaaa wa hamas ni mambwa tu.
Tena? Si anataka nanyi muishi kama binadamu. Mbwa ni kharamu sheikh wangu.Sawa lakini atuache Sasa sisi mbwa yeye aendelee hakuna ubaya
Kwahiyo khanji ndugu yangu, unataka kunambia baba wa taifa la India 🇮🇳 mahatma gandhi licha ya kua na sura ya upole nae alikua gaidi sababu ya ubaguzi wa rangi kwa watu weusi. Hapo sijazungumzia tabia yake chafu ya kulala na vibinti vyenye umri mdogo.Waarabu wenye sura za upole km huyu ni makatili sana nyuma ya pazia
Hawa wakitaka kufanya jambo lake anaficha uso anakukata shingo km kuku😁😁😁
Mkuu umeanzisha thread nzuri, lakini niseme tu hakuna atakekujibu kwa kutumia akili, bali wengi watakujibu kwa hisia na mahaba.Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuniView attachment 3338351View attachment 3338352
Sawa mwenye ushahidi aiweke tupate kujifunzaMkuu umeanzisha thread nzuri, lakini niseme tu hakuna atakekujibu kwa kutumia akili, bali wengi watakujibu kwa hisia na mahaba.
Hakuwa na kitengoNipe taarifa mkuu ana husika vipi ? Huyu bwana alikuwa Hamas ? Kitengo gani ?
Kitengo cha hamasa Kwa wapiganaji hasa msisitizo wa andiko la bikra 72Alikuwa Hamas ? Kitengo gani mkuu ningependa kujua na ndio maana nimeuliza swali ?
Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuniView attachment 3338351View attachment 3338352
Ni kosa kubwa kumfananisha mahtama na waarabu mkuuKwahiyo khanji ndugu yangu, unataka kunambia baba wa taifa la India 🇮🇳 mahatma gandhi licha ya kua na sura ya upole nae alikua gaidi sababu ya ubaguzi wa rangi kwa watu weusi. Hapo sijazungumzia tabia yake chafu ya kulala na vibinti vyenye umri mdogo.
Still bado hamjajibu kile mkuu mimi alichouliza kupitia uzi wake.
Kweli wew ni selfish rafiki angu, maana ukatili wanaofanya ndugu zako wahindi kwa watu weusi na ubaguzi wao hauna tofauti na ugaidi. Maana mtu mbaguzi anaweza pia akamtendea unyama wowote yule anayembagua.Ni kosa kubwa kumfananisha mahtama na waarabu mkuu
Ukweli ni kuwa waarabu ni watu wakatili sana hasa wakiwa majority
sawa boss nitajaribu kubadili mtazamoKweli wew ni selfish rafiki angu, maana ukatili wanaofanya ndugu zako wahindi kwa watu weusi na ubaguzi wao hauna tofauti na ugaidi. Maana mtu mbaguzi anaweza pia akamtendea unyama wowote yule anayembagua.
Mpe mbwa jina baya then muueProfesa wa dini alitakiwa kujitenga nao. Else, you are among them, you are one of them. Simple logic.