Zama za Haji Manara zipo ukingoni na asipokuwa makini zitalazimishwa kutamatika

Nadhani lengo lake ni kisasi pengine juu ya Karia kwamba kwa maneno yale yanaweza mgusa Karia kwa kuwa ndiye Rais wa TFF. Lakini hakuchambua kwa undani zaidi kuwa je anamgusa Karia pekee au kuna walio juu za ya Karia wanaweza guswa na kashfa hii aliyoitoa.
 
Ukirejea kusoma ulichoandika utaona we ndie unashida
Badala ya kujadili hoja yake ya uchangiaji wa team ya taifa kama ni sahihi ama sio sahihi umejikita kwenye personal attacks
Very low!
 
Wezi wakubwa nyie

Mjini hoja za Haji,hizi chuki binafasi haitawasaidia kuondoa ukweli wezi nyie
 
Hii nchi imejaaa maboga sana,So hapaswi kutoa maoni kisaanaogopa? Taofa lina kizazi cha kipuuzi mno,
 
Baada ya kusoma comments kwa huu uzi nimegundua kwamba Haji akigombea ubunge kwa tiketi ya CUF jimbo la Kawe wallah atatoboa maana keshajipatia wafuasi kibao kwa kauli hiyo [emoji23][emoji23]
Uko nje ya MAada,huna hoja kaa kimya,
 
Ngoja kwanza ninyi wanafiki wa Tz, Kwahiyo alichosema ni sahihi au sio sahihi? Maana kama yupo sahihi sidhani kama kulikuwa na haja ya kuandika uzi wa kuelezea downfall yake baada badala ya ku-support alichokisema. Shame😏
 
Ninasoma comments na kugundua namna watanzania walivyo wapumbavu,wajinga,mazuzu,matahira na mazwazwa!.

Itatuchukua muda sana kuyafikia maendeleo kama hizi ndizo akili za vijana wengi!
 
Wakati yupo kwenye
mfumo hakuwahi kulalamika sasa yupo nje ya mfumo ndio anaona...
Amewahi pia kuwa muhamasishaji wa timu ya Taifa .... possibly aliona kuna upigaji
 
Mbona Juzi Haji Manara kachangia timu ya taifa milion 5 ? Alipiga simu mwenyew wasafi fm akatoa mchango wake.
 
Wakati yupo kwenye
mfumo hakuwahi kulalamika sasa yupo nje ya mfumo ndio anaona...
Amewahi pia kuwa muhamasishaji wa timu ya Taifa .... possibly aliona kuna upigaji
Huo ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…