Zama za Kilimanjaro Express zimeisha

Hii taarifa wala haihitaji akili nyingi kuitambua kama propaganda kwa mtu mzoefu, jamaa anakwambia kilimanjaro ilijaza mpaka watu wakakosa nafasi 🤣🤣🤣. Wakati mwengine tunapopandaga hayo mabasi kwenye msimu kama huu mnaweza kujikuta kwenye gari hamzidi hata abiria 30
 
Hapana Mkuu, Sija-dispute taarifa yako bali ya mleta mada. KLM of course ina changamoto nyingi, lakini mleta mada kwa kiasi ameongeza na yake pia, Swala la baadhi ya mabasi ya zamani kuwa mabovu ni kweli kabisa, lakini mengine hajawa balanced
 
Hapana Mkuu, Sija-dispute taarifa yako bali ya mleta mada. KLM of course ina changamoto nyingi, lakini mleta mada kwa kiasi ameongeza na yake pia, Swala la baadhi ya mabasi ya zamani kuwa mabovu ni kweli kabisa, lakini mengine hajawa balanced
Okay mkuu
 
Hakuna cha Klm, Bm wala Marangu huduma za ndani hovyo tu.
Wahudumu wazuri ni wachache mno bali wapo mmoja mmoja wanaojielewa wengi wao hamna kitu
Unaijua Extra luxury wewe?[emoji3]
 
Magari Luxury yalivyo mengi namna hiyo...

Kilimanjaro hapana aisee...Na magari yao mengi AC ni tatizo..
 
Wahudumu wa mabasi nilikutana nao huko kusini buana, Njombe- Songea huko Superfeo hadi unatamani safari isifike mwisho!
Na ukizingatia ile ruti katawala yeye tu yaani gari zake zinapishana tt kutwa nzima, angekuwa mwingine angeutumia huo mwanya kuwa na huduma za hovyo.
 
Kumbe bado yapo!! Mara ya mwisho nililipanda mwaka juzi nikaapa kutokulipanda tenaaa. Washafilisika hao, hamna kitu tena!
 
Mkuu,kwa nini niwasingizie ilihali sina chochote ninachofaidika nacho?nimesafiri siku ya tatehe 7/07/2022 na gari ya saa 12:30 dereva wa gari alikua jamaa mmoja nilisikia wakiwa wanamuita mkiboshoo.
 
Wapo hovyo sio uongo...
Hayo luxury nilipanda siku moja walisema iko na choo ndani kumbe ni haja ndogo tu...sasa kuna mwanamke mmoja akafanya kubwa badala ya ndogo Aisee gari zima ilinuka safari ilikuwa chungu sana na watu walikuwa wanalalamika mno
Huyo mama alipaswa apewe kazi ya kubeba pupu yake,vyoo vyote ni haja ndogo tu na vimeandikwa
 
Umechanganya mambo,dar express ndio alifiwa na mke sio KLM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…