Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro uko sahihi kabisa, yaani tangu yule Mama aliyekuwa Mkurugenzi afariki huduma za KLM Express zimedorora hata Bus unaloambiwa ni luxury halina hadhi kabisa, mimi mwenyewe yalinikuta kama wewe nilitoka Dar - Arusha kwa kweli niliona huduma ziko tofauti na KLM Express niliyokuwa nasafiri nayo miaka ya nyuma, na tulikariri hakuna zaidi ya KLM Express, lakini hivi karibuni totally mambo yamebadilika Mabasi yamechoka mno, ilibidi wakati narejea Dar nisafiri na EXTRA luxury coach at list lilikuwa linakidhi. Uongozi wa KLM Express ufanyie kazi malalamiko ya wateja na waboreshe huduma zao kama mwanzo naamini watarudi kwani sasa hivi biashara ni ubunifu na ushindani.Juzi kati nikawa na kijisafari cha kuelekea mikoa ya huko kaskazini mwa Tanzania.
Nikasema ngoja nipande Kilimanjaro express, duh kwa kweli nilijuta sana kupanda lile basi.
Cha kwanza tulidanganywa kuwa basi ni luxury hivyo tukakatishwa nauli kubwa ila kiuhalisia hakuna luxury bus pale, bus siti zake zimechakaa,ndani linatoa harufu kama ya uvundo flani hivi,hakuna cha AC wala TV ndani ya basi. Basi lilikua limejaza kiasi kwamba abiria wengine wakawa wamekaa pale mbele kwa dereva na tulikua tukifika karibu na mizani wanawashusha baadhi ya abiria wanawachukulia bodaboda then tunawakuta mbele ya safari tukishavuka mizani.
Wahudumu wa basi ni kama wamekata tamaa yani hawana mwamko na kazi yao wanaongea lugha mbaya kwa abiria,badala yake muda wote wa safari walikua wamekaa tu kule mbele wanapiga story pasipokusikiliza abiria
pia bus lilikua linavuja.
Kwa kweli Kilimanjaro express niliyoipanda miaka mitano huko nyuma ina tofauti kubwa sana na hii ya leo.wakati narudi Dar nikasema ngoja nijaribu kupanda BM coach,kwa kweli nimeinjoy sana kusafiri na BM,huduma nzuri sana na wahudumu wao wakarimu mno.
Kilimanjaro express msipobadilika na kufanyia kazi hizi kero za wateja wenu basi naweza kusema huu ndiyo mwisho wa zama zenu.
AC za nini kwani Madirisha vioo havifunguki? Mimi binafisi basi kwenye basi nacho taka ni basi zima sio bovu, mambo ya TV sijui Choo, sijui Soda ni vitu visivyo na maana,Juzi kati nikawa na kijisafari cha kuelekea mikoa ya huko kaskazini mwa Tanzania.
Nikasema ngoja nipande Kilimanjaro express, duh kwa kweli nilijuta sana kupanda lile basi.
Cha kwanza tulidanganywa kuwa basi ni luxury hivyo tukakatishwa nauli kubwa ila kiuhalisia hakuna luxury bus pale, bus siti zake zimechakaa,ndani linatoa harufu kama ya uvundo flani hivi,hakuna cha AC wala TV ndani ya basi. Basi lilikua limejaza kiasi kwamba abiria wengine wakawa wamekaa pale mbele kwa dereva na tulikua tukifika karibu na mizani wanawashusha baadhi ya abiria wanawachukulia bodaboda then tunawakuta mbele ya safari tukishavuka mizani.
Wahudumu wa basi ni kama wamekata tamaa yani hawana mwamko na kazi yao wanaongea lugha mbaya kwa abiria,badala yake muda wote wa safari walikua wamekaa tu kule mbele wanapiga story pasipokusikiliza abiria
pia bus lilikua linavuja.
Kwa kweli Kilimanjaro express niliyoipanda miaka mitano huko nyuma ina tofauti kubwa sana na hii ya leo.wakati narudi Dar nikasema ngoja nijaribu kupanda BM coach,kwa kweli nimeinjoy sana kusafiri na BM,huduma nzuri sana na wahudumu wao wakarimu mno.
Kilimanjaro express msipobadilika na kufanyia kazi hizi kero za wateja wenu basi naweza kusema huu ndiyo mwisho wa zama zenu.
Sikiliza ukisafiri andaaa Lunch Box yako, ukifika pale Korogwe, shuka na Lunch Boc yako ingia hotelini tafuta meza kaaa kula, ya nini kujihangaisha?Halafu mabasi yao yanataga sana siku hizi,ukifika pale hotelini kwao korogwe mnashuka wote hakuna kubaki mtu kwenye basi,tatizo bei pia ya chakula ni kipengele...Sawaya sijui nini kimemkumba..
Bus zote huwa ni haja ndogo hawajubali kujata gogo ndani ya basi na by the way vile vyoo ni show off tu, Kwanza unatoka Arusha moshi gari inasiamama utaenda chooni, baada ya hapo gari inasimama korogwe utaebda chooni, binafisi sioni kama zina maanaWapo hovyo sio uongo...
Hayo luxury nilipanda siku moja walisema iko na choo ndani kumbe ni haja ndogo tu...sasa kuna mwanamke mmoja akafanya kubwa badala ya ndogo Aisee gari zima ilinuka safari ilikuwa chungu sana na watu walikuwa wanalalamika mno
Zote ni sawa tu, Huduma za haya mabasi zinafanana sana kama juna utofauti ni 12% tuArusha panda
1. BM
2. Tilhisho
3. Marangu
Ukikosa hayo panda
4. Extra luxury
5. Esther
Ukikosa haya hairisha safari ndugu hao wakina Kilimanjaro sijui Dar express wamejichokea ni safari za kubahatisha.
Kampuni zote zinafanana huduma watu ni vile hawajaelewaHata BM ya Morogoro-Moshi, Arusha nayo ipo hovyo sikuhizi.
Labda Esther.
Wana Bus Kari sana ingawa bado huduma za Mbasi zinafanana kwa asilimia zote, hakuna cha nani wala naniMi nimerudi kwenye chuma ya zamani Dar Express. Niliona basi zao mpya nikaona zimekaa vizuri.
shabiby ana 1×1 mzee, yani bus zima lina raia 34 tu oiiiii, ni moto.Mkuu hakuna Luxury buses Tanzania kama wanavyozitaja.
Ni ile BM moja tu yenye seat nne mwanzoni za kuweza kuadjust na kulala comfortably na ina space ya kuweka food stuffs
Mengine yote ni matangazo tu...Mara Luxury, Mara semi luxury....hamna kitu.
Huduma za Mabasi yote zinafanana kwa asilimia zote na ndo maana huwa sichagui basi ilimuladi ni nzima.
Hakuna Cha BM wala nani kampuni zote ni sawa tu
Inategemea umepanda ipi,mimi sasa natoka Chuga to Moro,T 335 DVX chuma iko poa na huduma nzuri sanaHata BM ya Morogoro-Moshi, Arusha nayo ipo hovyo sikuhizi.
Labda Esther.
Acha kuchafua biashara za watu, Kama hukupenda huduma zao hamia kwingine.Juzi kati nikawa na kijisafari cha kuelekea mikoa ya huko kaskazini mwa Tanzania.