Hiyo 2000 nilikuwa Bado hata skuli sijaanza,na huku kwetu umeme umeletwa 2010 hivi.Umetumia hiyo cable?
Nazikunbuka nyuzi zako za nasaha kaka ,ikafika mahali nikakuahidi kukupambania mpaka walau upate doctorate ila isivyo bahati niliowategemea wote niliwakosea hivyo ni maadui sasa .We naonaga unaandika upo Mbinga, na hili tukio lilikuwa Songea kipindi hicho kulikuwa na umeme wa genereta
Kuwa na subira Mkuu hiyo doctorate yangu iandae kabla ya 29 October unipe. πππNazikunbuka nyuzi zako za nasaha kaka ,ikafika mahali nikakuahidi kukupambania mpaka walau upate doctorate ila isivyo bahati niliowategemea wote niliwakosea hivyo ni maadui sasa .
Anyway nimeitumia hiyo cable ,sina kumbukumbu ya kupigwa nayo shoti ila nachokumbuka niliwahi kata huo waya wake ili nikamtembezee kipigo mwamba aliymletea za kuleta dada yangu .
Nilitembeza kipigo kwa wale mafala ila na mimi mbabe wangu nikakutana naye karume ,waya nikiwa nishatupa akanipiga kama ngoma ikabidi kesi aongezwe baba mkubwa maana bila hivyo angeniuwa yule jamaa
Mh kwanini kabla 29 October kaka ?Kuwa na subira Mkuu hiyo doctorate yangu iandae kabla ya 29 October unipe. πππ
Oyaa mdogo nimerudi alhamis , ijumaa nikapita mitaa yako sikukuona kuna matilio fulani nilikuwa naitafuta π€£Samahani mkuu nje ya mada...
Nawezaje kumjua usalama wa taifa..? Kupitia mada zake humu jukwaani
Na ile project yako vipi ambayo mimi niliacha ndala πππππOyaa mdogo nimerudi alhamis , ijumaa nikapita mitaa yako sikukuona kuna matilio fulani nilikuwa naitafuta π€£
Usikate tamaa lakini ile idea yako jamaa aliwapa watu wakapiga ile kazi
Samahani mkuu nje
EehWe naonaga unaandika upo Mbinga, na hili tukio lilikuwa Songea kipindi hicho kulikuwa na umeme wa genereta
Kuwa nae makini huyo jamaa πππππ
Dah umenipiga dongo mwanetu sema fresh nitafanya hivyo ila mimi nduguyo wa songea usiwaamini waja na uongo wao kakaKabla ya October hiyo au kama utaona vipi mkabidhi Seran on my behalf π€£
Jitazame sana!Samahani mkuu nje ya mada...
Nawezaje kumjua usalama wa taifa..? Kupitia mada zake humu jukwaani