Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

Kijana wenu kawapaisha, ngoja niongee naye nimsikilize alikuwa anatania au? sema mara nyingi ana utani sana, sasa kwa usalama wa dr lazima ajihami!😀
Kusema kweli aliniahidi kama miaka mitatu nyuma sema ndio hivyo leo kakumbusha. Kama ana hofu na usalama wake na ana nia ya kutoa zawadi aipeleke Jamiiforums HQ Mimi nitaifuata pale
 
Sipendi kufunga PM ili wawe huru kuweka matusi yao ili nijifunze matusi mapya sababu nyingine naona wanaogopa kuniattack kwenye nyuzi za wazi sasa sipendi niwanyime haki ya kunifikia ili mioyo yao iwe na raha .
Uwii mimi siwezi kuhimili hekaheka za Jf, bora nikae lockup tu!😆
 
Kusema kweli aliniahidi kama miaka mitatu nyuma sema ndio hivyo leo kakumbusha. Kama ana hofu na usalama wake na ana nia ya kutoa zawadi aipeleke Jamiiforums HQ Mimi nitaifuata pale
Uko sawa kabisa! basi mpe nafasi ajipangilie jinsi ya kukupatia tu hakuna namna!
 
Uwii mimi siwezi kuhimili hekaheka za Jf, bora nikae lockup tu!😆
Hapana bado haujapitia mengi dada .
Itafika muda mtu kukutana ni kama anapiga gitaa mbuzi alafu zaidi awe anaporomoka kwa kitu ambacho hana ukweli wala uhakika wake huku wewe unacheka tu ni raha kweli kweli .

Wanajijua leo nimeamua niwaseme hapa labda watatoka huko PM waje hapa jamvini wayaseme wanayonituhumu nayo wadogo zangu wale
 
Hapana bado haujapitia mengi dada .
Itafika muda mtu kukutana ni kama anapiga gitaa mbuzi alafu zaidi awe anaporomoka kwa kitu ambacho hana ukweli wala uhakika wake huku wewe unacheka tu ni raha kweli kweli .
Duhh mambo ya kufuatana pm na hamjuani ili iweje jamani! ndio yale ya kuattackiwa na ids mpya kila kukicha! unashangaa tu mtu anakuchukia kumbe kuna ka bwana kake kanakuchekea chekea kwenye posts🤣
Wanajijua leo nimeamua niwaseme hapa labda watatoka huko PM waje hapa jamvini wayaseme wanayonituhumu nayo wadogo zangu wale
Hmm Jf ina mambo mengi sana! sijui watu wana shida gani jamani ptuuu!🙌
 
View attachment 3626987
Nimepita mitandaoni huko nikaona hii Cable ya umeme , nikakumbuka miaka ya 2000. Kuna siku nilitoa hii Cable kwa nje nikachomeka mashine ya kunyolea.

Sasa wakati nasubiri katokea mtoto wa jirani na msumari wa nchi 6. (Misumari tulikuwa tunatumia kucheza mchezo unaitwa domeka) Mnachora jedwali chini halafu mnakuwa mnacheza huo.

Dogo katoka huko na msumari wake akaja akachomeka kwenye cable halafu ilikuwa on. Aisee ile shoti aliyopigwa yule dogo nashindwa hata kuelezea maana alinasa akawa analia huku anakata viuno na ile taharuki iliyokuwepo nikawa namuangalia nashindwa hata la kufanya.
Huyo dogo yupo wapi siku hizi?Atakuwa kazeeka tayari.
 
Nazikunbuka nyuzi zako za nasaha kaka ,ikafika mahali nikakuahidi kukupambania mpaka walau upate doctorate ila isivyo bahati niliowategemea wote niliwakosea hivyo ni maadui sasa .

Anyway nimeitumia hiyo cable ,sina kumbukumbu ya kupigwa nayo shoti ila nachokumbuka niliwahi kata huo waya wake ili nikamtembezee kipigo mwamba aliymletea za kuleta dada yangu .

Nilitembeza kipigo kwa wale mafala ila na mimi mbabe wangu nikakutana naye karume ,waya nikiwa nishatupa akanipiga kama ngoma ikabidi kesi aongezwe baba mkubwa maana bila hivyo angeniuwa yule jamaa
Kaka asylum alykum

Una endeleajee tunapishana sana humu ndanii
 
Wewe ukweli unaujua mwenyewe ni nani 😂😂🙌🙌🙌🙌
Naongea kama utani ila kuna kaukweli kiasi chake
Kijana unaniharibia Mimi ni Mwanachama wa Jamiiforums tu hapa, Sema mdogo kuna jambo ulifanya limegusa na linaelekea kurejesha furaha ya mtu.

Inshallah nitakuanzishia uzi kukupa maua yako.
 
Najua kashaniweka kwenye list ya watu ambao lazima nipate doziii 😂😂🙌🙌🙌
Yaani we dogo ni fwalaaaa sana halafu Acha kunichoresha na hayo mambo ya kijinga, wee kaa kwa kutulia kuna siku utasikia milio kwenye Spika, halafu pigs kama hizi za uzushi zilinipotezea watu wa muhimu sana. Na hii ishu nataka niiweke wazi nchi nzima. Kwahiyo please Acha kuwa unanipa majukumu ambayo sina na kunichoresha kwa watu
 
Back
Top Bottom