Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

Kijana unaniharibia Mimi ni Mwanachama wa Jamiiforums tu hapa, Sema mdogo kuna jambo ulifanya limegusa na linaelekea kurejesha furaha ya mtu.

Inshallah nitakuanzishia uzi kukupa maua yako.
Jambo gani tena hilo afisa...
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚
 
Sawa sisemi tena mkuu najua hapo nakosea maana naanza kutoa Siri za ndani ..
Samahani sana mkuu πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Manyaka kaka kuanzia leo naziba mdomo mkuu
 
Sawa sisemi tena mkuu najua hapo nakosea maana naanza kutoa Siri za ndani ..
Samahani sana mkuu πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Manyaka kaka kuanzia leo naziba mdomo mkuu
Inahitajika ukomae kiakili mdogo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ukitakiwa utoe maelezo kwamba mimi nina siri za ndani. Kijana si utaleta shida kwa sababu ya kuendekeza utani na masihara yasiyo na faida?
 
Inahitajika ukomae kiakili mdogo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ukitakiwa utoe maelezo kwamba mimi nina siri za ndani. Kijana si utaleta shida kwa sababu ya kuendekeza utani na masihara yasiyo na faida?
Sema nisamehe sana πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...
Hapa sasa sisemi tena mi nilikua nahisi tu kutokana na project yako ileeee
 
Sema nisamehe sana πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...
Hapa sasa sisemi tena mi nilikua nahisi tu kutokana na project yako ileeee
Ile projection ni zaidi ya hizo hisia zako unazoIandika humu na kuwafanya watu waanze kunihisi vibaya.
 
Yule robot wa tanesco alikuambiaje ulivyompa idea yako😁😁😁😁,

Hile siku nilicheka sana.
Alafu tanesco jau sana..
Sijui wanatuonaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna watu walikua wanashuka kabisa ila baada ya kustukia mchezo l... πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Aisee ktk vitu nilicheka ni ile siku🀣🀣🀣🀣🀣,

Watu walikuwa wanajimaliza,robot chap anajibuπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…