Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

Tutapigana humu jukwaani seriously tutapigana...

Yaani jua lilivo kali hivi plas biashara ya chenji kila siku soko linapungua...
Aaaah tutapigana aiseeee
Tena ni ugomvi mkubwa viti vitarushwa vikaangukie vichwa vya mods
 
Mkuu mbona lugha uliyotumia kuelezea ni kama ya mtu anayeelezea juu ya sinema ya kuchekesha aliyoiona? No empathy, no regreat.
 
Mkuu mbona lugha uliyotumia kuelezea ni kama ya mtu anayeelezea juu ya sinema ya kuchekesha aliyoiona? No empathy, no regreat.
Mkuu ni karibia miaka 26 iliyopita na nimeelezea hivyo baada ya kuona uzi wa jamaa akielezea zile heater tulizokuwa tunaingia nazo mabwenini kuchemshia maji au chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…