Zamani nilikuwa namshangaa mtu aliyefanikiwa kimaisha na hasaidii ndugu zake, Leo mimi natamani hata kuwapiga Risasi

Lakini ukifa watakuzika tu utake usitake na watoto wako watatunzwa na wao.

Hongera wewe ambae umelelewa na hao ndugu, ukijua uwepo wa yatima wasiosaidiwa na ndugu subiri yajayo kwa wanao pigana sana usiache taabu ukifa, fight fight. Ndugu baadhi ni Mbwa wa kuuliwa mbali
 
Ndugu miyeyusho sana..mi wazazi wamefariki nipo std 4, hakuna hata ndugu aliyejishughulisha na mimi, nilivyosoma na kukua Mungu mwenyewe anajua..
Leo maisha yana afadhali ndo wanaanza kuibuka, mi huwa nawachora tu..
 
Mkuu Zegote pole sana na yaliyokukuta na kupelekea kukupa maumivu moyoni. Ila jambo moja ni sana muhimu kwako kulizingatia, pale jaribu kama hilo linapokujili, inakupasa kuwa na subira kubwa. Jaribu kwa kila njia kuwakwepa watesi wako, lkn fanya hivyo ukiwa kwanza umeshawafikishia ujumbe juu ya maovu yao.
 
Kwani usipoenda kwenye vikao vyao utachubuka?????

Ndugu hawanaga shukrani

Wengine wanahisi ni haki yao ya msingi kusaidiwa.....
 
Nilidhani una point ulipoanza kubagua ndugu ni wa upande wa MAMA tu na shida ndugu upande wa BABA nimeona huna point ila umeathirika na MFUMO JIKE!
 
Ndugu miyeyusho sana..mi wazazi wamefariki nipo std 4, hakuna hata ndugu aliyejishughulisha na mimi, nilivyosoma na kukua Mungu mwenyewe anajua..
Leo maisha yana afadhali ndo wanaanza kuibuka, mi huwa nawachora tu..
Duh pole Sana...mie ndugu wamenipaga SoMo Sana..akiona mambo sio haba anaanza chokochoko za ajabu ajabu tu yaan unahis Kama katoroka milembe vile .eish...badala ya kukufata umpe abc anaanza kukuwekea mtima nyongo dah
 
Ndugu miyeyusho sana..mi wazazi wamefariki nipo std 4, hakuna hata ndugu aliyejishughulisha na mimi, nilivyosoma na kukua Mungu mwenyewe anajua..
Leo maisha yana afadhali ndo wanaanza kuibuka, mi huwa nawachora tu..
Ndo zao hizo
 
Kwa kuwajua aina ya ndugu wanaonizunguka nilitengeneza namna ya wao kubaki mbali nami na mimi kuwa mbali nao na imenisaidia sana,siwalaumu na wao hawanilaumu japo hawaishi vitimbi vya fitna
Na namshukuru mola kwa kunipa kizazi kwani nawafundisha na kuwaaminisha watoto kuwa kwa idadi yao wanaweza kutengeneza na kuendesha clan lao bila kuomba kuwajua ndugu wengine
Nimebakisha watoto na mke kwa mbaali kuwa ndo watu wangu wa karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…