Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una Raha...mie ni wazazi na wanangu! Fulstop
Lakini ukifa watakuzika tu utake usitake na watoto wako watatunzwa na wao.
Mkuu Zegote pole sana na yaliyokukuta na kupelekea kukupa maumivu moyoni. Ila jambo moja ni sana muhimu kwako kulizingatia, pale jaribu kama hilo linapokujili, inakupasa kuwa na subira kubwa. Jaribu kwa kila njia kuwakwepa watesi wako, lkn fanya hivyo ukiwa kwanza umeshawafikishia ujumbe juu ya maovu yao.Mda mwingine kutumia hekima kwenye changamoto hizi za kifamilia ni kujimaliza mwenyewe, Unaonesha upendo kwa watu ambao wao hawana upendo na wewe. Wanakuchekea kinafiki ukiwapa msaada, wakitoka wanapanga mipango ya kukudhuru na kukuombea uharibikiwe.
Binadamu wana Roho mbaya sana, hata Yesu hakuwa na kosa lakini walimsulubu msalabani japo aliwapa chakula wakiwa hoi na njaa walivokula na kushiba wakaanza kumtesa. Wanaonesha kukupenda lakini mioyo yao imejawa chuki. Naandika haya nikiwa na Jazba siku kadhaa zilizopita ningekuwa niko karibu na viumbe hawa waliofanya niandike hapa basi leo maiti kadhaa zingekuwa mochwari au zishazikwa na mimi ningekuwa nyuma ya nondo.
Ndugu zangu kwa sasa ni ndugu wa damu tu wadogo zangu na mama zangu. Hawa wanaojiita ndugu za baba huu ushenzi wanaoniletea kwenye familia yangu na mimi binafsi pamoja na kujishusha sana kwao Imefika mahali imetosha, naona ni kama nakumbatia kundi la wachawi huku nikijifanya nawapenda. Huku wao wakiwa na mipango yao binafsi
Nimesaidia sana kifedha na kila aina ya msaada lakini hawa watu nia yao sio njema Lakini majibu niliyowapa nadhani washanifahamu kwamba mimi sasa ni mtu wa namna gani, siwezi kukumbatia nyoka tena.
Nilipofikia ukinipiga kofi, nakurushia bomu huu upuuzi wa kumuachia mungu aamue sina tena.Tutajibu dhambi zetu tukiwa kwenye kiti cha enzi
Ngoja ndugu zako waje kususia maiti yako ukajizike na pesa zako ndipo utajua umuhimu wa ndugu!
Kwani usipoenda kwenye vikao vyao utachubuka?????Nanukuu..."mpaka sasa kwa umri huo hana hata nyumba, hana maendeleo yoyote yupo yupo tuu anazurura mjini"
Wakasahau kwamba Mwamba kila akikusanya akiba inaishia kusomesha na kuwatibia hao hao ndugu wanaosema hafanyi maenedeleo...
Asipo wasaidia wanamuita moaka kwenye vikao vya ukoo, akiwasaidia wanamcheka kisa hafanyi maendeleo...
Ndugu tuna maudhi mengi sana..
Nilidhani una point ulipoanza kubagua ndugu ni wa upande wa MAMA tu na shida ndugu upande wa BABA nimeona huna point ila umeathirika na MFUMO JIKE!Mda mwingine kutumia hekima kwenye changamoto hizi za kifamilia ni kujimaliza mwenyewe, Unaonesha upendo kwa watu ambao wao hawana upendo na wewe. Wanakuchekea kinafiki ukiwapa msaada, wakitoka wanapanga mipango ya kukudhuru na kukuombea uharibikiwe.
Binadamu wana Roho mbaya sana, hata Yesu hakuwa na kosa lakini walimsulubu msalabani japo aliwapa chakula wakiwa hoi na njaa walivokula na kushiba wakaanza kumtesa. Wanaonesha kukupenda lakini mioyo yao imejawa chuki. Naandika haya nikiwa na Jazba siku kadhaa zilizopita ningekuwa niko karibu na viumbe hawa waliofanya niandike hapa basi leo maiti kadhaa zingekuwa mochwari au zishazikwa na mimi ningekuwa nyuma ya nondo.
Ndugu zangu kwa sasa ni ndugu wa damu tu wadogo zangu na mama zangu. Hawa wanaojiita ndugu za baba huu ushenzi wanaoniletea kwenye familia yangu na mimi binafsi pamoja na kujishusha sana kwao Imefika mahali imetosha, naona ni kama nakumbatia kundi la wachawi huku nikijifanya nawapenda. Huku wao wakiwa na mipango yao binafsi
Nimesaidia sana kifedha na kila aina ya msaada lakini hawa watu nia yao sio njema Lakini majibu niliyowapa nadhani washanifahamu kwamba mimi sasa ni mtu wa namna gani, siwezi kukumbatia nyoka tena.
Nilipofikia ukinipiga kofi, nakurushia bomu huu upuuzi wa kumuachia mungu aamue sina tena.Tutajibu dhambi zetu tukiwa kwenye kiti cha enzi
Duh pole Sana...mie ndugu wamenipaga SoMo Sana..akiona mambo sio haba anaanza chokochoko za ajabu ajabu tu yaan unahis Kama katoroka milembe vile .eish...badala ya kukufata umpe abc anaanza kukuwekea mtima nyongo dahNdugu miyeyusho sana..mi wazazi wamefariki nipo std 4, hakuna hata ndugu aliyejishughulisha na mimi, nilivyosoma na kukua Mungu mwenyewe anajua..
Leo maisha yana afadhali ndo wanaanza kuibuka, mi huwa nawachora tu..
Ndo zao hizoNdugu miyeyusho sana..mi wazazi wamefariki nipo std 4, hakuna hata ndugu aliyejishughulisha na mimi, nilivyosoma na kukua Mungu mwenyewe anajua..
Leo maisha yana afadhali ndo wanaanza kuibuka, mi huwa nawachora tu..
Usije kujidanganya hata siku kuwa kuwasaidia ndo watakuja kuwatunza wanao.