Zamani nilikuwa namshangaa mtu aliyefanikiwa kimaisha na hasaidii ndugu zake, Leo mimi natamani hata kuwapiga Risasi

Uko njeMa kweli upstairs!??Unatushirikisha hapa ili iweje!?
umeongea na nani humu mkakubaliana hampaswi kushirikishwa? jiongelee wewe na kama haikuhusu potezea usiwasemee wengine. kila mmoja humu huweka changamoto zake kama sehemu ya kushea na wengine.
 
Duh pole Sana...mie ndugu wamenipaga SoMo Sana..akiona mambo sio haba anaanza chokochoko za ajabu ajabu tu yaan unahis Kama katoroka milembe vile .eish...badala ya kukufata umpe abc anaanza kukuwekea mtima nyongo dah
Mambo mrembo, ni rahisi Sana kushirikiana na rafiki kiuchumi kuliko ndugu,ndugu ni vichomi
 
Watu wanajidanganya sana..
Mkuu wasamehe mimi jamaangu alianza kukaa peke yake akiwa darasa la tatu advance aliacha kwenda shule ada ilisumbua akaenda mwaka unaofata baada ya kujichanganya soko la mtumba hapo mwanjelwa akaja akafanya vizuri paper ya advance akaenda chuo na akapata kazi nzuri na anafanya biashara zake wale waliomtenga walikua hoi kawasaidia na maisha yanaenda kuweka vinyongo kisa pesa sio na kwa kuwa alikosa ada yeyote mwenye matatizo ya ada anamsomesha hata Kama sio ndugu yake ni kwa vile ana pesa sio za mawazo na roho ya ubinadamu anayo...
 
Ndugu wa kitanzania hata umsaidie wengi huwa hawafanyi la maana sijui kwa nini wanatumia vibaya pesa wakitegemea Na kesho watakutafuta tena
 
Mtu ambaye hajakutana na ushenzi wa watu kama hawa atakupinga.

Ukweli ndio huo, ndugu - Baba wadogo, kaka, shemeji, dada, wifi, shangazi, wajomba, wake, waume, wadogo zetu nk. Ni watu tuishi nao kwa akili za kujiongeza usidhani kwa kuwa unawapenda wanakupenda pia.
Uko sahihi, hii dunia imebadilika kila mmoja anavutia kwake.
 
umeongea na nani humu mkakubaliana hampaswi kushirikishwa? jiongelee wewe na kama haikuhusu potezea usiwasemee wengine. kila mmoja humu huweka changamoto zake kama sehemu ya kushea na wengine.
Wewe ni ndugu yake!!? Au mnapenda zogo tu.

Haya kasaidika nini sasa!?
 
Mambo ya ndugu ni magumu. Lakini kama unacho na upo katika nafasi ya kusaidia. Saidia tu bila kuhesabu au kukumbuka. Fanya pale inapoweza, usijitenge sana sio vizuri lakini pia usiyabebe sana napo sio vizuri.
Ndugu yangu wewe acha tu
 
Muda mwingine kutumia hekima kwenye changamoto hizi za kifamilia ni kujimaliza mwenyewe, unaonesha upendo kwa watu ambao wao hawana upendo na wewe. Wanakuchekea kinafiki ukiwapa msaada, wakitoka wanapanga mipango ya kukudhuru na kukuombea uharibikiwe.

Binadamu wana Roho mbaya sana, hata Yesu hakuwa na kosa lakini walimsulubu msalabani japo aliwapa chakula wakiwa hoi na njaa walivokula na kushiba wakaanza kumtesa. Wanaonesha kukupenda lakini mioyo yao imejawa chuki. Naandika haya nikiwa na Jazba siku kadhaa zilizopita ningekuwa niko karibu na viumbe hawa waliofanya niandike hapa basi leo maiti kadhaa zingekuwa mochwari au zishazikwa na mimi ningekuwa nyuma ya nondo.

Ndugu zangu kwa sasa ni ndugu wa damu tu wadogo zangu na mama zangu. Hawa wanaojiita ndugu za baba huu ushenzi wanaoniletea kwenye familia yangu na mimi binafsi pamoja na kujishusha sana kwao Imefika mahali imetosha, naona ni kama nakumbatia kundi la wachawi huku nikijifanya nawapenda. Huku wao wakiwa na mipango yao binafsi.

Nimesaidia sana kifedha na kila aina ya msaada lakini hawa watu nia yao sio njema Lakini majibu niliyowapa nadhani washanifahamu kwamba mimi sasa ni mtu wa namna gani, siwezi kukumbatia nyoka tena.

Nilipofikia ukinipiga kofi, nakurushia bomu huu upuuzi wa kumuachia Mungu aamue sina tena. Tutajibu dhambi zetu tukiwa kwenye kiti cha enzi.
Ukiendekeza ndugu, utakufa kibudu na hata Mungu hutomuabudu, Utamkana WA Baridi na hata WA moto mwisho utabakiwa na WA uvuguvugu (Ndugu Masnitch Aka Wanafiki)
 
Muda mwingine kutumia hekima kwenye changamoto hizi za kifamilia ni kujimaliza mwenyewe, unaonesha upendo kwa watu ambao wao hawana upendo na wewe. Wanakuchekea kinafiki ukiwapa msaada, wakitoka wanapanga mipango ya kukudhuru na kukuombea uharibikiwe.

Binadamu wana Roho mbaya sana, hata Yesu hakuwa na kosa lakini walimsulubu msalabani japo aliwapa chakula wakiwa hoi na njaa walivokula na kushiba wakaanza kumtesa. Wanaonesha kukupenda lakini mioyo yao imejawa chuki. Naandika haya nikiwa na Jazba siku kadhaa zilizopita ningekuwa niko karibu na viumbe hawa waliofanya niandike hapa basi leo maiti kadhaa zingekuwa mochwari au zishazikwa na mimi ningekuwa nyuma ya nondo.

Ndugu zangu kwa sasa ni ndugu wa damu tu wadogo zangu na mama zangu. Hawa wanaojiita ndugu za baba huu ushenzi wanaoniletea kwenye familia yangu na mimi binafsi pamoja na kujishusha sana kwao Imefika mahali imetosha, naona ni kama nakumbatia kundi la wachawi huku nikijifanya nawapenda. Huku wao wakiwa na mipango yao binafsi.

Nimesaidia sana kifedha na kila aina ya msaada lakini hawa watu nia yao sio njema Lakini majibu niliyowapa nadhani washanifahamu kwamba mimi sasa ni mtu wa namna gani, siwezi kukumbatia nyoka tena.

Nilipofikia ukinipiga kofi, nakurushia bomu huu upuuzi wa kumuachia Mungu aamue sina tena. Tutajibu dhambi zetu tukiwa kwenye kiti cha enzi.
Kuna ndugu yako mwingine nae sasahv anawaambia watu ubaya wa ndugu zake na amekuunganisha na wewe.
 
kaa nao mbali ila usiache kuwasaidia panapo ulazima mfano suala la elimu,afya,na uhitaji wowote muhimu,pia usaidiapo usiwekeze kwenye kutegemea kuja kulipwa,fanya kama mabeberu wao jukumu lao ni kusaidia haijalioshi wananangwa vipi kwa walamba misaada kina jiwes and company
 
Unamaanisha watoto watapewa mahali pa kulala na chakula cha kuongeza siku ama?!!,... Unawajua ndugu vizuri wewe? Kufa kama kwa Mungu Kuna screen utakua unajionea
ukiishi kwa kutegemea upewe positive na watu au ndugu ili ukamilike utaishi maisha magumu sana,ishi huru maneno yao yasikuumize tumia principle ya kuishi na mtoto mdogo na uiapply kwenye maisha yako
 
Kabisa!

Kabisa! Nmemshangaa aliesema ndugu watatunza watoto wake akifa
 
Ngoja ndugu zako waje kususia maiti yako ukajizike na pesa zako ndipo utajua umuhimu wa ndugu!

Nikifanyia mtu jambo namfanyia kwa ajili yangu na Muumba wangu ila sio kwa kutegemea wa kunizika. Mie nikifa hata mwili wautupe baharini au wauchome moto potelea mbali.

Lakini sitafanya jambo kwa kutegemea fadhila za watu wa kunizika, hiyo hapana. Ntahifadhiwa tu kwa namna yeyote ile. Usicheze na mzoga wa binadamu, hawataweza kuvumilia uvundo wake. Ntazikwa tu.
 
Back
Top Bottom