usisumbue ya kesho watatunzwa vipi wataishi vipi timiza wajibu wako ya kesho yatajisumbukia yenyewe waweza aandaa ya kesho na yakienda ndivo sivyoKabisa!
Kabisa! Nmemshangaa aliesema ndugu watatunza watoto wake akifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usisumbue ya kesho watatunzwa vipi wataishi vipi timiza wajibu wako ya kesho yatajisumbukia yenyewe waweza aandaa ya kesho na yakienda ndivo sivyoKabisa!
Kabisa! Nmemshangaa aliesema ndugu watatunza watoto wake akifa
Zegota Msaada una hatarisha uhuru wa mtu, mimi ningekuwa ndugu yako ningekuroga hasa ufilie kwa mbali, ndugu zako wako sahihi kukuumiza, kukuombea mabaya!Muda mwingine kutumia hekima kwenye changamoto hizi za kifamilia ni kujimaliza mwenyewe, unaonesha upendo kwa watu ambao wao hawana upendo na wewe. Wanakuchekea kinafiki ukiwapa msaada, wakitoka wanapanga mipango ya kukudhuru na kukuombea uharibikiwe.
Binadamu wana Roho mbaya sana, hata Yesu hakuwa na kosa lakini walimsulubu msalabani japo aliwapa chakula wakiwa hoi na njaa walivokula na kushiba wakaanza kumtesa. Wanaonesha kukupenda lakini mioyo yao imejawa chuki. Naandika haya nikiwa na Jazba siku kadhaa zilizopita ningekuwa niko karibu na viumbe hawa waliofanya niandike hapa basi leo maiti kadhaa zingekuwa mochwari au zishazikwa na mimi ningekuwa nyuma ya nondo.
Ndugu zangu kwa sasa ni ndugu wa damu tu wadogo zangu na mama zangu. Hawa wanaojiita ndugu za baba huu ushenzi wanaoniletea kwenye familia yangu na mimi binafsi pamoja na kujishusha sana kwao Imefika mahali imetosha, naona ni kama nakumbatia kundi la wachawi huku nikijifanya nawapenda. Huku wao wakiwa na mipango yao binafsi.
Nimesaidia sana kifedha na kila aina ya msaada lakini hawa watu nia yao sio njema Lakini majibu niliyowapa nadhani washanifahamu kwamba mimi sasa ni mtu wa namna gani, siwezi kukumbatia nyoka tena.
Nilipofikia ukinipiga kofi, nakurushia bomu huu upuuzi wa kumuachia Mungu aamue sina tena. Tutajibu dhambi zetu tukiwa kwenye kiti cha enzi.
HuhuhuuhhuuWatakuzika kinafiki na watoto wako watawatunza kinafiki
Safi sanaMimi kuishi kibandidu minding my bussiness ndio furaha yangu maana sijali ya wengine, ukijifanya mwema unajiingiza kwenye matatizo
Uache kazi kisa ndugu? Acha umama, achana naoHii hoja naiunga mkono 100% by experience kabisa. Ninapitia changamoto kubwa sana japo hata mafanikio yenyewe sina! Ukiwa na ukoo masikini sana ukawa wa kwanza kupata kiugali kiduchu cha serikali ndugu wanakuvagaa hawataki kusikia majibu ya 'sina hela' wala 'subiri wiki ijayo', ngoma ni on the spot! Kuna wakati natamani kuacha kazi hii ya kimasikini inayonijazia chuki na lawama tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haSikutishi nimeshakutana na hii issue kwa watu zaidi ya tano Tena wakiongea na chuki kubwa behind my back. Wenye roho mbaya ndo hu survive
kwani ameomba msaada? au ametoa mawazo yake tu. hata hivyo wewe huoni msaada wa mawazo ya wengine humu,huoni maoni kinzani humu?au ulitegemea msaada wa chakulaWewe ni ndugu yake!!? Au mnapenda zogo tu.
Haya kasaidika nini sasa!?
Uache kisa ndugu? Acha umama, achana nao
Umama = kujilegezaKuwa mama ni tusi kumbe!!
Umama = kujilegeza
Ndicho nilichomaanisha mimi
Mimi Bora nihonge hela kwa Demu angalau najua naweza kupata "return to investment" kuliko nisaidie nduguHii hoja naiunga mkono 100% by experience kabisa. Ninapitia changamoto kubwa sana japo hata mafanikio yenyewe sina! Ukiwa na ukoo masikini sana ukawa wa kwanza kupata kiugali kiduchu cha serikali ndugu wanakuvagaa hawataki kusikia majibu ya 'sina hela' wala 'subiri wiki ijayo', ngoma ni on the spot! Kuna wakati natamani kuacha kazi hii ya kimasikini inayonijazia chuki na lawama tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nanukuu..."mpaka sasa kwa umri huo hana hata nyumba, hana maendeleo yoyote yupo yupo tuu anazurura mjini"
Wakasahau kwamba Mwamba kila akikusanya akiba inaishia kusomesha na kuwatibia hao hao ndugu wanaosema hafanyi maenedeleo...
Asipo wasaidia wanamuita moaka kwenye vikao vya ukoo, akiwasaidia wanamcheka kisa hafanyi maendeleo...
Ndugu tuna maudhi mengi sana..
Imagine mtu umempa msaada baadae anakusema vibaya uharibikiwe kwa wengineSafi sana
[emoji28][emoji28][emoji28]Unamaanisha watoto watapewa mahali pa kulala na chakula cha kuongeza siku ama?!!,... Unawajua ndugu vizuri wewe? Kufa kama kwa Mungu Kuna screen utakua unajionea
Haa haaa umetisha[emoji28][emoji28][emoji28]Mimi Bora nihonge hela kwa Demu angalau najua naweza kupata "return to investment" kuliko nisaidie ndugu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji122]katishaNdugu wana vituko sana. akanipigia simu nikiwa barabarani,badae ikafuata sms sikuombi hela nilikuwa nakusalimia tu.
Kwani huwezi kumsaidia mtu wakati huo huo ukaweka mipaka ya mazoea ya kijinga jinga?? Kitu tunachokosea wabongo ni kuleta mazoea yasiyo na msingi na ile dhana ya polygamy family, unakuta mtoto wa shangazi sijui mama mdogo, mtoto wa dada wote wanakaa kwako.. Hapa lazima kuna lawama..Nilichojifunza kwa Tanzania hii ukijifanya mwema unatoa misaada inajiingiza kwenye matatizo na chuki maana wengine unawasaidia kiroho Safi kumbe wanachukia, wengine wanaenda hata kukuloga ili uangamie, maana kutoa msaada wanaona unaringa,ni Bora wakukomeshe ili mkose wote wakucheke. Dunia hii Bora kuwa na roho mbaya, kwanza watu watakuogopa sana
Acha uzwazwaNgoja ndugu zako waje kususia maiti yako ukajizike na pesa zako ndipo utajua umuhimu wa ndugu!