Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Nilikuwa sipendi tusi la "wewe mweusi kama mjaluo" wakati hata huyo mjaluo nilikuwa simtambui.
 
Nilikuwa na amin masomo ya 'sunday school ombeni nanyi mtapewa' basi kunasiku nilipoteza hela hom nikajifungia rum nkaweka kikopo kumwomba Mungu anirudishie aziweke humo bt kila nikifungua kikopo hola!

Hahahaaa! Aiseee! Kumbe bora mimi Wewe ulikua jinga kweli!!
 
mimi nilijua Iddi Amini anamfuatia shetani kwa ukubwa
 
Mimi nilikuwa nafikili mtu akifia hospitali hutakiwi kulipia gharama za matibabu kwani nilidhani wanalipia waliopona tu.
 
kuku Akiwa Kalala Nazania Kaatamia Mayai,Hivyo Nikawa Natimua Kila Kuku Nimuonae Kapumzika, Ili Nichukue Mayai!
 
Nilimeza mbegu za chungwa nikalia sana nikidhani mchungwa utaota tumboni. Hahahahaaaaaaaaaaaaa!
 
Zamani nilivyokuwa mjinga nilijua Mwenyekiti ana Mkiti mkubwaaaa!!
 
nilikuwa najua rais ni mtu mwenye akili nyingi kupita wote......
 
Back
Top Bottom