pumbafu 2shakupoteza ww
Mi nilikuwa na akili mulize TID nilikuwa nawashikia namba class
mpaka leo siwezi kutenganisha full na fool kwa matamshi
Mimi sikua mjinga kama nyie nilikua napenda sana kusoam kiasi kwamba umeme ukikatika naenda kusubiri taa za magari nagonga kama msatri mmoja hivi likipita nasubiri lingine
Mimi mpk leo najua HAWANYI!! ...... unataka kuniambia Rihana anaenda chooni???
Mpaka leo nikimwona mwanamke mwenye mimba/mjamzito najua tayari kashafanya ngono! Teh teh teh!
we ulikua mjinga kwelikweli...mi niliotesha miguu ya kukuNilipanda vifuatavyo nikidhani vingeota. Thumni Keki Pipi na Dagaa
we ulikua mjinga kwelikweli...mi niliotesha miguu ya kuku
Hahahaaa! Aisee! Sasa uliotesha ili iote miguu ya kuku au ili aote kuku??
Kuna dogo class kwenye hili swali la kinyume alijaza kama hivi:-
1. Njaa = anja
2. Kulia = aliku
3. ...
Alipata 0 kati ya ishirini, basi ticha akatusomea majibu yake darasa zima tulicheka!!
Niliwahi kuulizwa unakaa wapi nikajibu kwenye kiti
Mi nlikuwa sijui tofauti ya nchi na mkoa ..nilienda kutembea Mwanza naulizwa na watoto wenzangu umetokea wapi..sometimes najibu Tanzania sometimes Morogoro (home)
Teh! Teh! Kali yangu ambayo mpaka leo najcheka nakumbuka nikiwa darasa 3
kwenye mtihani wa english maswal ya kujaza nafas zilizo waz sasa kuna swali lilinigonga nikashindwa kujb nijaza CHELEA APINA enzi hizo hilo neno ndo lipo kwenye midomo ya watu
Sasa hiyo 1;
2. Watu walikuwa wanasema kuwa umeme wa chooni unanguv kuliko wa tnsko sasa tunapeleka waya chooni tunadumbukiz kwa shimo hazgus mav* zinakuwa znaelea af tunaenda kusubir ndan na kuwasha glopu zile za toch enz hizo zinauzwa sh.50 lkn ilikuwa holaa
tunapeana moyo kuwa chaji bado haijafka baadae tukaambiwa sio kinyes cha choon bali mbolea ya ng'ombe
wacha tukayajaze vidumu vya lita 5 tunachanya na maji mixer mikojo yetu(ile ya asbh tuliokojoa usiku kweny makopo si tulikuwa tunaogopa kutoka nje)
tunachimbia nyuma ya chumba chako usawa wa dirisha safari hii tulikuwa tunaweka na betri ili kupata + na -
tukijua kuwa zitakuwa zina bustiwa na lile joto lkn was holaaa!
huwa najcheka sana lkn haya uswaz sana
ploud uswaziii!!!!!!!!!