Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Mi nilikuwa na akili mulize TID nilikuwa nawashikia namba class

Mh. Chimbuvu kama kweli umesoma na TID basi ulikuwa class mate wangu!
Niambie kama unakumbuka siku alipozimia skuli (ingawa si vizur kukumbuka mambo kama haya)
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikua mjinga kama nyie nilikua napenda sana kusoam kiasi kwamba umeme ukikatika naenda kusubiri taa za magari nagonga kama msatri mmoja hivi likipita nasubiri lingine
 
Mimi sikua mjinga kama nyie nilikua napenda sana kusoam kiasi kwamba umeme ukikatika naenda kusubiri taa za magari nagonga kama msatri mmoja hivi likipita nasubiri lingine

Aiseee! Kumbe watu tunatofautiana kwa ujinga e?
 
Basi nilikua najua nyaya za umeme ndo zinasafirisha sauti za matangazo ya Radio, sasa nilikua nikitoka kwa mama Moshi, kwenda kwa bibi Arusha ikifika muda babu anasikiliza taarifa ya habari ya sa2 usiku namwambia "Kule kwa mama Wameshasikiliza"
 
Kuna dogo class kwenye hili swali la kinyume alijaza kama hivi:-

1. Njaa = anja
2. Kulia = aliku
3. ...

Alipata 0 kati ya ishirini, basi ticha akatusomea majibu yake darasa zima tulicheka!!

Teh teh..unanikumbusha mambo ya msamiati na maana zake darasa la sita. Mwalimu kaeleza maana ya Bernie..akamchagua jamaa aunde sentensi atumie neno bweni ..
Jamaa: Kaka yangu ni bweni
 
Mi nlikuwa sijui tofauti ya nchi na mkoa ..nilienda kutembea Mwanza naulizwa na watoto wenzangu umetokea wapi..sometimes najibu Tanzania sometimes Morogoro (home)

Nilikuwa nikisikia redioni wanatangaza "Jipatie TV nchi 12 ...", namwuliza baba kama watakuruhusu ujichagulie nchi kama vile Kenya, Ujerumani, Marekani etc. Kumbe wanamanisha mapana na marefu.
 
Teh! Teh! Kali yangu ambayo mpaka leo najcheka
 
Teh! Teh! Kali yangu ambayo mpaka leo najcheka nakumbuka nikiwa darasa 3
kwenye mtihani wa english maswal ya kujaza nafas zilizo waz sasa kuna swali lilinigonga nikashindwa kujb nijaza CHELEA APINA enzi hizo hilo neno ndo lipo kwenye midomo ya watu
Sasa hiyo 1;
2. Watu walikuwa wanasema kuwa umeme wa chooni unanguv kuliko wa tnsko sasa tunapeleka waya chooni tunadumbukiz kwa shimo hazgus mav* zinakuwa znaelea af tunaenda kusubir ndan na kuwasha glopu zile za toch enz hizo zinauzwa sh.50 lkn ilikuwa holaa
tunapeana moyo kuwa chaji bado haijafka baadae tukaambiwa sio kinyes cha choon bali mbolea ya ng'ombe
wacha tukayajaze vidumu vya lita 5 tunachanya na maji mixer mikojo yetu(ile ya asbh tuliokojoa usiku kweny makopo si tulikuwa tunaogopa kutoka nje)
tunachimbia nyuma ya chumba chako usawa wa dirisha safari hii tulikuwa tunaweka na betri ili kupata + na -
tukijua kuwa zitakuwa zina bustiwa na lile joto lkn was holaaa!

huwa najcheka sana lkn haya uswaz sana
ploud uswaziii!!!!!!!!!
 
Hiyo ya kuchemka nafasi za wazi kuna jamaa namkumbuka kila swali likimgonga anajaza Y2K Manjonjo, ticha akaja mwaibisha clac.
 
Back
Top Bottom