Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Sijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe.
Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa.
Zamani tukiwa vijijini ukisikia leo Bajeti ya Nchi itasomwa Nchi nzima masikio na Macho ilikuwa Dodoma.
Siku hizi habari za Bajeti huzisikii sehemu yoyote wala mitaani.
Habari naona heading to Hapa Jukwani na mimi sijalifungua na lina wachangiaji na wasomaji wachache sana.
Hadi Msoma Bajeti anajaribu Kuvuta attention kwa kufananisha Note na jezi ya team ya mpira ili kupata kiki za kuforce.
Enzi za Dkt. Mkulo habari ingekuwa nyingine.
Je tatizo ni Watanzania kushadadia mipira, sanaa na miziki na kuacha mambo ya msingi au Shida ni Bajeti na wasoma bajeti.
Hili nalo mkalitazame wana nzengo
PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025