BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Wapo Wana CCM wachache wanaoamini katika Utu na kushindana Kwa Hoja Yakinifu zama hizi, Walio wengi wamejaa hila, uchu wa Madaraka, wizi na mipango ya kufiisha watu wanao tofautiana Kwa Hoja.
Zamani Mzazi wako akiwa kada wa Chama anazijua sera na pia anajua kushawishi! Hawa vilaza wa Sasa, ukitoa hoja wanatoa Panga! Wamefanya Siasa zikose mvuto!
Wapinzani nao hawana msimamo Wala sera, wananunuliwa kama Malaya, Kwa tamaa za pesa ndio Maana wanadharauliwa na CCM! Siasa ni kusimamia bila kuyumba unachoamini.
Wauaji mfedheheshwe na damu zenu zimwagwe pia